Hawana namna kosa lao walikubali kupokea mafisadi Na haijalishi fisadi huyo yupo ccm au upinzani nilazima wamtetee zambi ya ufisadi nisawa Na kula nyama ya mtu. Muangalie mboe tulimchukulia kama kioo lakini nae alikua muhujum anakaa ktk jengo tena anafanya biashara lakini kodi halipi mpaka anatupiwa vitu nje, sasa Leo yupo kwenye skendo za madawa ya kulevya. Ngoja tuone mchezo mpaka mwisho.Kinachonifurahisha awamu hii ni kuona wapinzani wamegeuka kuwa watetezi wa wavunja sheria, wahalifu, wezi na mafisadi. Very interesting.
Very true hizi chuki ni mbaya sana hakuna siku ambayo chuki imepelekea mtu kufanikiwa au kukawa na matunda mazuri ya chuki. Uchumi utazidi kwa mgumu. Kwa style hii tunazidi kufanya uwekezaji kuwa mgumu sana Tanzania. Kila tusiyemtaka majirani zetu wanamtaka tena na wako tayari kuwasaidia. Matokeo yake ni nini? Watahama na kwenda kuzalisha nje ila bidhaa zao zitakuja tu hapa bei ikiwa juu zaidi na hazina ya fedha za kigeni ikipungua zaidi. Chuki ni miwani ya mbao hauwezi kuona factsUmasikini ni mbaya sana maana kila siku utamuona alie nacho kama hakustahili kuwa nacho
Kuwa na thamani ya zaidi ya USD mil 400 sio vijisent by any scale duniani. Kuna kitu nimetoka kujifunza leo ngoja nishare na wewe hapa uone kwa nini sisi hatuendelei wengine wanaendeleaAcha kwanza ujumbe ufike vizuri kabisa, hakuna mjinga mwingine atakayekuja kuitukana na kuidhalilisha serikali kwa sababu tu ana vijisenti vyake.
ZITTO NI BORA UNYAMAZE MAANA KUNA TAARIFA KUTOKA SHULE ULIYOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI INAYOONYESHA YA KUWA ULIFOJI KUINGIA ILI UMALIZIE KIDATO CHA NNE BAADA YA KUFUKUZWA HUKO KIGOMA KWA KUMPIGA MWALIMU, SIKU SIYO NYINGI HABARI HIYO ITARUKA HEWANI KUPITIA MOJA YA MAGAZETI SIRIASI...KUMBE ULIFUKUZWA UKAFANYA MAGENDO KUMALIZIA KIDATO CHA NNE?Yanayoendelea dhidi ya Yusuf Manji yanashabikiwa na baadhi yetu kwa sababu wanadhani hayatawafika. Tabia ya kukomoa mtu ni tabia mbaya na ina madhara makubwa katika nchi. Ni dhahiri kuwa Manji sasa anaonewa na kudhalilishwa ili kumkomoa kwa sababu ambazo watawala wanazijua wenyewe.
Wakati suala la kutumia unga lipo kortini, Serikali imeamua kumnyanganya hisa zake za Tigo. Sio kwamba Serikali itachukua hisa Hizo, la hasha. Ila Manji azikose tu. Unajiuliza, Serikali hii hii imeacha matapeli wa PAP kuitwaa IPTL na TANESCO inawalipa zaidi ya tshs 300m kila siku.
Leo mpaka mahakama inatumia suo moto kurudisha suala la hisa za Manji kwenye Tigo ambalo halina maslahi yeyote ya Taifa. Kwanini Mahakama haikufanya suo moto kurudisha fedha za Tegeta Escrow?
Watanzania wajue tu kuwa, mwaka 2004 Serikali iliachia hisa zake 20% kwenye Tigo kwa USD 750,000 ( vichekesho) kwa kuiuzia kampuni kutoka Luxembourg. Badala ya Serikali kuhangaika na maafisa wake walioachia hisa kutoka nje ya Tanzania wanahangaika na Mtanzania aliyezirudisha hisa Tanzania.
Uhamiaji wanamwita kuhusu wafanyakazi wake wageni kana kwamba yeye Yusuf ni Afisa Rasilimali watu wa kampuni. Aliko Dangote hakuitwa uhamiaji kwa suala la wafanyakazi wake ila Manji anaitwa.
Wakifanikiwa kwa Manji atatafutwa mwengine, Ni sawa na kula nyama ya mtu. Hutaacha.
Manji anaweza kuwa ana madudu mengi Sana, ahukumiwe kwa haki kwa makosa yake. Asikomeshwe kwani ukomeshaji hautaishia kwake. Asionewe. Atendewe haki. Anyways Kama Mwana Simba, nawasihi Yanga achaneni na mambo ya mabango uwanjani. Hayasaidii lolote.
Hujielewi.......Unalijua jembe tu NYUNDO HUIJUI??!!...Ng'ombe weweSasa taja majina ya wapinzani na sifa zao ambao unafikiri wanafaa kuiongoza nchi. Ukishindwa shika jembe ukalime.
RaisUnasema nani aingilie kati?! Au Manji unayemsema hapa sio Yusuf Manji?!
rudisha vyote vilivyochukuwa kutoka kwa umma bila kuafuata taratibu.Tunachukua chetu,hakuna tatizo lolote.baadhi ya viongozi wa serikali waliopora fedha zetu walitumbukiza kwenye fuko la manji.janja yao kwisha.
Mzito kabwela pesa yetu kule Nssf umerudisha tukopeshe wengine?
yar iyo nikw kabisaWanamfundisha kua Serikali ni serikali uwezi kua juu ya Serikali........!
Tutatoa za watu waliomwandikia thesis ya phd sizonge na alivyoiba mali za mradi wa irp. Zingine ni zaZITTO NI BORA UNYAMAZE MAANA KUNA TAARIFA KUTOKA SHULE ULIYOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI INAYOONYESHA YA KUWA ULIFOJI KUINGIA ILI UMALIZIE KIDATO CHA NNE BAADA YA KUFUKUZWA HUKO KIGOMA KWA KUMPIGA MWALIMU, SIKU SIYO NYINGI HABARI HIYO ITARUKA HEWANI KUPITIA MOJA YA MAGAZETI SIRIASI...KUMBE ULIFUKUZWA UKAFANYA MAGENDO KUMALIZIA KIDATO CHA NNE?
NA LISSU AFUNGE MDOMO WAKE, MAANA NA YEYE TUNANGOJA TAARIFA YAKE KUTOKA ARUSHA YA JINSI ALIVYOPNAGA KUMNG'OA MBOWE UENYEKITI, IKUMBUKWE TUNDU LISSU NSIYE ALIEMPA MWENYEKITI WA UVCCM KILIMANJARO TAARIFA YA KUWA MBOWE ALIPATA SUFURI KIDATO CHA SITA! NA MWENYEKITI HUYO PETER MUSHI YUKO CHADEMA ALIKOHAMIA NA LOWASSA. LISSU ACHA UNAFIKI NA HATA WANASHERIA UNASHIRIKIANA NAO KUMNG'OA MBOWE TUNAWAJUA