Hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa wanasiasa!Kadhalika, Zitto, aliwaasa vijana kuachana na siasa za kulalamika bila ya kutoa majawabu ya matatizo wanayoyalalamikia na kwamba enzi hizo zimepitwa na wakati.
"Siasa za vijana wa sasa ni za kutoa masuluhisho ya kukabiliana na changamoto zilizopo bila ya kuangalia itikadi za kivyama, kama ambavyo tumekuwa tukifanya mimi na Makamba katika mambo ya msingi yenye maslahi kwa nchi. Ni lazima palipo na maslahi ya nchi, tusimame pamoja kwa kuwa bila ya kufanya hivyo, watu wengine watatusemea," alisema.
Sioni sababu ya kuweka umri wa kugombea urais uanzie miaka 40.Ni vigezo gani vinatumika kuweka age limit?Najua kuna baadhi ya wazee na vijana wenye fikra mgando watakaopinga hili.Huwezi kupinga notion ya kizuzu kwamba vijana ni taifa la kesho kisha ukaendekeza hoja ya age limit iwe miaka 40,huko ni kutokujitambua.
Naamini katika uwezo wa mtu lakini pia umri ni kigezo muhimu.Nikipewa watu wawili wenye uwezo sawa (ceteris peribus) basi nitachagua mmoja ambaye ni the youngest among the two....!

Lack of credibility
Zito anajibagua sana na wana mabadiliko wenzake,tulisha mzoea yule,nafikiri udini unamsumbua sijui kwa nini asirudi ccm
Sio anajibagua na hilo la udini liko akilini kwako tu. Hebu tuseme ukweli, zitto akae na Lema au Sugu kweli wataelewana? Si bora hata akae na mnyika. Kweli sugu au Lema anaweza kuchangia kitu gani cha maana? Ushauri wao mkubwa ni TUANDAMANE.Zito anajibagua sana na wana mabadiliko wenzake,tulisha mzoea yule,nafikiri udini unamsumbua sijui kwa nini asirudi ccm