ni juzi tu serikali ya CCM mmetakua kumuua Nimrod Mkono kama mlivyomuua Mgimwa kwa mashambulizi ya kibaolojia.
Kweli mkuu na huyu G'su atakuwa mhusika wa njama hizo sasa ajiandae kunyea debe segerea
ni juzi tu serikali ya CCM mmetakua kumuua Nimrod Mkono kama mlivyomuua Mgimwa kwa mashambulizi ya kibaolojia.
Kweli mkuu na huyu G'su atakuwa mhusika wa njama hizo sasa ajiandae kunyea debe segerea
Drama za watu bana eti maisha yako hatarini,upumbaf mtupu,mtu adhamirie kabsa kukuondoa utachukua hata dakika tano kweli?.
Nipo mtaani ndugu kwa sasa nipo hapa hazina dodoma nimekaa na washikaji tunagonga juice huku tukifuatilia bunge baada ya hapo tukutane dodoma hotel kwa chakula cha mchana baadaye usiku tutakuwa maisha club na baadhi ya waheshimiwa wabunge wala hatuogopi tunajiamini lakini pia ukinitafuta kwa ubaya ujipange kweli kweli siyo mwepesi kama mzee slaa au mshumbushi naweza kukuaibisha mapema kabisa.
siasa nyepesi sana hizi zinawisho wala hazichukui mda mrefu sana.
Acha kuchekesha watu ndugu yangu. Wewe sio raia wa tanzania sasa mambo ya huku tuachie wenyeweHali zenu waungwana? Kwanza kabisa ningependa kuwataarifu kwamba tumeamua kuungana na wazalendo wote wanaopigania masilahi ya Taifa le2, km vile kina Zitto, Kafulila, wabunge na watanzania wenze2 waliojitolea kupambana na ufisad huu unaoendelea kuota mizizi nchi Tanzania. Mimi na waingereza wenzangu wenye asili ya Tanzania tunajua na kufuatilia mambo mengi yanayotokea nchi kwetu kwa zamani, ambayo yamekuwa yakiirudisha nchi nyuma kimaendeleo, wakati wenzetu wanasonga mbele, yamekua yakiangusha uchumi wa nchi, wakati wenzetu wakiinua uchumi wa nchi zao.
Sasa leo tumeamua kujitokeza rasmi na kusema tumechoka na wizi wa aina yoyote unaotokea nchini Tanzania. Mimi na wazalendo wenzangu tumeamua kuunda kikosi kazi chenye wataalam wa sheria kwa ajili ya kupambana na wanasheria na mahakimu uchwara wa bongo, wanaoishi kwa rushwa za watuhumiwa. Vile vile tuna hela ya kutosha kwa ajili ya kuwawekea ulinzi wa kutosha wale wote watakaosimama kidete kutetea masilahi ya wananchi na Taifa kwa ujumla, ktk hili la ulinzi tutatumia zaid polisi wa kimataifa kuwalinda ndugu zetu hawa kimya kimya bila mtu yeyote kuwatambua askar hao. Kwa hiyo watanzania tunaomba sapot yenu maana nyinyi ndio mnaotusukuma sisi kuchukua hatua hii ili kuwanusuru na hali mbaya ya maisha inayo7bishwa na hawa.
Maana sisi tushakuwa na uraia wa nchi nyingine, sasa wahusika wa mapambano haya zaidi na nyinyi.
Nawakilisha
Acha kuchekesha watu ndugu yangu. Wewe sio raia wa tanzania sasa mambo ya huku tuachie wenyewe
Drama za watu bana eti maisha yako hatarini,upumbaf mtupu,mtu adhamirie kabsa kukuondoa utachukua hata dakika tano kweli?.
siasa nyepesi sana hizi zinawisho wala hazichukui mda mrefu sana.