KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
matangazo yanakatakata. nimemsikia anasema hatatoka chadema. amejiunga na chama akiwa na umri wa miaka 17.
kipindi kiimekwisha?mkumbo anamshangaa mwigulu hajawahi kumsifia hata siku moja lakini jana anamsikia anamsifia.
Kama hataki kutoka,kwa nini alikuwa anatusaliti?
Yaweza kuwa kahusika au hajahusika ila yampasa atoe ushahidi ili ajisafishe na tuhuma hzi kwa maana kila mtu anayo haki[/
upande wa kuthibitisha upo kwa wanaomtuhumu!
Yaliyosemwa kwenye waraka wa siri yote ni kweli,swali linakuja kaandika zitto kweli?
Mbowe hana sifa ya kuwa pale na slaaa mwenyewe,namuunga mkono zittom kama kweli ripot imeeandikwa na yeye