Zitto: Kwanini mimi ni mwanasiasa...

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,881
2,000
MH ZITO AMEANDIKA HIVI KWENYE BLOG YAKE AKIELEZEA KWANN YEYE NI MWANASIASA

In times like these I often reflect and ask myself: Why am I a politician? I could choose many other professions yet I chose to be a politician. Why? Because I believe in transforming our society. I believe that every Tanzanian has a right to better life than the life the majority is living today. This is reflected in everything I do. I write. I speak. I propose motions in Parliament to effect changes, to call for reforms, to call for transformation.

I want to empower and help the people of Tanzania to enforce accountability

936136_636451323083609_2122667119_n.jpg
 

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
1,225
Nguvu ya huyu jamaa ni kiboko hata chadma lazima wajiulize zaidi ya maswali waliyokuwa wanajiuliza kwa sasa nguvu na uwezo wake ndipo vimeonekana bayana kabisa.
 

mjombajona

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
262
0
Hayo ni maneno tu, hata ww unaweza kusema na kuandika kwenye blog yako. Mtu anapimwa kwa matendo yake, hata kwa Mungu tunapimwa kwa matendo yetu kwanza, na inakuwa vizuri maneno yako yaendane na vitendo vyako.
 

Alinda

Platinum Member
Jun 26, 2008
1,694
2,000
Nguvu ya huyu jamaa ni kiboko hata chadma lazima wajiulize zaidi ya maswali waliyokuwa wanajiuliza kwa sasa nguvu na uwezo wake ndipo vimeonekana bayana kabisa.

Inawezekani kuwa ni kiboko cha CCM... Lowassa kaa chonjo..
 

sawa

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,750
2,000
Kaka zito tumia busara achana na kuhubiri siasa za kikabila na kidini wewe ni role modal wa vijana wengi unakumbuka ccm ndio walikuwa wanahubiri udini na ukabila ila leo nkamia na ndugai wanalalamika ukabila katika mgogoro wa aedhi kiteto
 

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,881
2,000
kaka zito tumia busara achana na kuhubiri siasa za kikabila na kidini wewe ni role modal wa vijana wengi unakumbuka ccm ndio walikuwa wanahubiri udini na ukabila ila leo nkamia na ndugai wanalalamika ukabila katika mgogoro wa aedhi kiteto
wapi ameungumza ukabila na udini huyu ni mbunge wa kitaifa ukabila wala udini hauna nafasi acha propaganda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom