assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
- Thread starter
- #21
Nguvu ya umma inatisha
tupo pamoja mkuumungu ambariki, ila ahakikishe hapotezi taswira ya makamanda.kuleta mabadiliko tanzania.
mungu ambariki, ila ahakikishe hapotezi taswira ya makamanda.kuleta mabadiliko tanzania.
Mwenendo wake ni kinyume na maneno yake!
Mfarijini lakini hadi sasa makamanda tumeshamsahau na hatumtofautishi na misukule ya lumumba! wasaliti wote chali na watajibeba muda si mrefu.
hatuko narrow minded kama wewe kibavicha, tunaangalia mambo kwa mapana yake.Hayo ni maneno tu, hata ww unaweza kusema na kuandika kwenye blog yako. Mtu anapimwa kwa matendo yake, hata kwa Mungu tunapimwa kwa matendo yetu kwanza, na inakuwa vizuri maneno yako yaendane na vitendo vyako.