Zitto kuwekwa kitimoto Ujerumani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto kuwekwa kitimoto Ujerumani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngida1, Dec 5, 2009.

 1. Ngida1

  Ngida1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 554
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dear Nd. Lampart,
  Vipi huyo Nd. Zitto kapatikanwa kwa hio interview huko Ujerumani?
  Wengi tungelipenda kuisoma hio interview iliyofanywa na Wagagagigikoko huko Ujerumani kama ilitokea.
   
 2. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Eunogh is eunogh, sasa Zitto aachwe apumzike!

  Respect.


  FMEs!
   
 3. L

  Lampart Senior Member

  #3
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Eh ndugu yangu we Ngida1!
  Unataka na hapa ukumbini nifukuzwe?
  Ukitaka habari za Wagagagigikoko basi nenda huko Wanabidii, Tanzanet au Zanzinet. Hapa ukimsema Mungu wetu (Zitto) basi na hio thread inapazwa! [/FONT]
  [FONT=&quot]Watu hapa wamefika mpaka kusema kuwa jamani hii serikali ya Kikwete ipinduliwe na jeshi na hakuna aliesema thread ifungwe isipokuwa BluRay peke yake. Leo kasemwa Mungu wetu Zitto kwasababu kamsifia Dr Rashid kwa akili yake mwenyewe thread imetolewa, ili watu wasahau kuwa hakuyasema hayo maneno na tupate kumrejea kumpenda Mungu wetu kama zamani!!![/FONT]
  [FONT=&quot]Hapa hatumzungumzii Zitto. Tunazungumzia juu ya lini sisi Watanzania tutaamka? Tutaabudu wengine mpaka lini? Hata mtu tukimuona anataka kupata kichaa bado tunamuabudu tu???[/FONT]
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Watu mna visa na mikasa nani kasema Zitto ni mungu wetu??
  Na kwa nini uishi kwa kuogopa ,unamaanisha hujiamini..
  Kama hujiamini wewe mwenyewe nani atakuamini ....
  kama enterview yako iko makini weka jamvini ijadiliwe acha bla bla mala ikaenda mala ikarudi ..Lampart mtu mzima hatishiwi nyau
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Leo umecharuka siyo...!
   
 6. L

  Lampart Senior Member

  #6
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Firstlady1, unasema hivyo kwasababu huyajui hayo yaliyotokea!!!
  Ungeyajua mwenyewe usingeliyasema hayo.
  Anaeogopa sio mimi. Mimi simuogopi mtu na wala simuabudu mtu.
  Wanataka ideas zao ndio ziwe zetu sote na zawengine ziwe hazipo na kwahivyo threads zao zinauliwa!
  CCM na Rais wao tunawachmaba hapa kila siku na sote tunakaa kimya. Wakichambwa wa vyama vyengine threads mbio mbio zinafungwa kwa kuogopa Miungu isije kukasirika!!!
   
 7. L

  Lampart Senior Member

  #7
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu, atapumzika akiacha siasa. Madamu yumo kwenye siasa basi hatuwezi kumuachia na kesho tukajakujuta kwa makosa kama yale ya nyuma!
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Dec 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  So far sidhani kama naona kosa la mods kuiondoa topic ile, mkishamweka kitimoto mkuu tufahamishe ili topic ile ionekane iliondolewa kwa ubaya. Vinginevyo hatuwezi kufanya Zitto, Kafulila na Sophia Simba watuondoe kwenye mijadala mingine...

  Kama unanisoma basi naamini utaweza kung'amua sababu ya mjadala huo vinginevyo jiulize mara ngapi Zitto anapigwa mawe humuhumu JF? (Mpaka amekaa kimya kwa muda ili hali itulie)

  Fikiria mkuu wangu.... Karibu!
   
 9. L

  Lampart Senior Member

  #9
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANI, ile original thread ya kuwekwa kiti moto huyu ndugu yetu kule nchini Ujerumani sio imeondolewa ukumbini kwasababu tumemtukana?
  Mbona tena huu mkia umerejea kinyume nyume???
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Vipi lampart katika wanasiasa zaidi ya 10,000 umeona huyo jamaa ndio anakufaa kupata umaarufu na kumjadili kutwa??

  Kuna conditions za kitabibu zinazorandana na haka katabia ka "cyber bullying" umeshajiuliza kama na wewe unako?

  Hatuwezi kumzungumzia mtu kama Mwakipesile, au ndejembi, au David Matayo au wale wabunge wapya waliopita vizuri sana kule kagera na mwanza mwaka huu?
   
 11. L

  Lampart Senior Member

  #11
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hio ni sawa, kwani democracy ni ngumu na kesho keshokutwa serikali ikipiga marufuku magazeti 2-3 tusije kulalamika. Ndio democracy yetu ilivyo.
   
 12. K

  Kabogo Member

  #12
  Dec 5, 2009
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umenena Lampart hapa jamvini ukmzunguzia Zitto utaona tread inavyotolewa fastaaaaaaaaaaaa ila ikiwa ni ya kusifia itakaa mda mrefu bwana tubadilike!!!!!!..... Habari ndo hiyoooo Usiweke iyo interview Lampart nakuunga asilimia 500
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  This is not true... lakini si kosa lako mko wengi mmesahau kwamba sisi ni wageni na zitto yumo kwenye hili jamvi for ages!!!

  Again, peruzi kwenye archives utakuta thread ngapi za zitto tena nyingine again na bado zipo

  tusipotoshane kama wanasiasa uchwara
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ...mh, hili nalo neno
   
 15. L

  Lampart Senior Member

  #15
  Dec 5, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nd. Kabogo,
  Nitaufuata huo ushauri wako. Naona hapa Wagagagigikoko wanaleta news as I write this msg. Sijui ni nini tena. News zipo under BREAKING NEWS kutoka Nairobi (Kenya) na zinapita mbio mbio kwenye screen ya Satellite, lakini sioni jina la Zitto, labda ni mada nyengine. Ngojea nibonyeze hapa kidogo nipate ya zaidi.
  Baadae bro/sis!
   
Loading...