Hata huyu hapa chini anawazidi akili wabunge wa CCM ambao sahihi zao hazijaonekana katika orodha ya Zito
Filikunjombe akiweka sahihi.Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi
Zitto usichemke, huwezi kupeleka hoja Jumatatu, unaweza kupeleka Taarifa ya Maandishi kwa Spika, Jumatatu, halafu ( 1 ) usubiri siku 14 kabla ya kutoa hoja; ( 2 ) uombee Spika akukubalie kwa utashi wake."Spika hajasema kitu, wamejipanga tu hawa, sisi hatujampelekea hoja yetu tunampelekea Jumatatu kisha ataamua. Ili mradi iwe siku 14 kabla ya siku ya kutoa hoja. Wanaweweseka tu," alidai Zitto.
Mkuu Mh.lugola ni mbunge wa mwibara sio bunda.MBUNGE WA bunda MH.GOMBE STREAM NATIONAL PARK ni mchumia tumbo.
Hata huyu hapa chini anawazidi akili wabunge wa CCM ambao sahihi zao hazijaonekana katika orodha ya Zito
Filikunjombe akiweka sahihi.Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi
Huyu kunjombe ndio yule aliyewahi kusutwa na wale kina mama wabunge au?
Licha ya kuwapo kwa fununu ya mawaziri kujiuzulu lakini Zitto amesema azima ya kuwasilisha hoja yake Jumatatu iko pale pale.
"Spika hajasema kitu, wamejipanga tu hawa, sisi hatujampelekea hoja yetu tunampelekea Jumatatu kisha ataamua. Ili mradi iwe siku 14 kabla ya siku ya kutoa hoja. Wanaweweseka tu," alidai Zitto.
Hadi jana jioni sahihi 75 zikiwemo 5 za wabunge wa CCM zilikuwa zimeshapatikana.
Majina ya wabunge wa CCM waliotia sahihi ni,
1. Deo Philikunjombe wa Ludewa,
2. Ally Keissy Mohamed wa Nkasi Kaskazini,
3. Alphaxard Kange Lugola wa Jimbo la Bunda,
4. Murtaza Ally Mangungu na
5. mbunge mmoja wa Viti Maalumu(CCM) kutoka Kanda ya Ziwa ambaye hakutaka atajwe kwa sasa.
Source: Gazeti la Mwananchi.
Magamba, magamba
Kelele nyingiii, majasiri watano tu. naomba niwe mtu wa mwisho kuamini kwamba magamba hata yakipiga kelele sana yanamaanisha yanachokipigia kelele.