ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 610
- 1,540
Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe leo Septemba 18, 2020 atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Ndugu Hassan Uled.
Muda: Kuanzia Saa 8:00 hadi saa 12 jioni.
Mahali: Viwanja vya Mtaa wa Sinani.
Aidha Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe kesho Septemba 19,2020 atahutubia mikutano miwili ya hadhara kama ifuatavyo:
- Saa 4:00 asubuhi atamnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Newala Mjini, Ndugu Mbaraka Chilumba.
Wapi: Viwanja vya Mahakamani, Newala Mjini.
Jumamosi hiyo hiyo saa
8:00 mchana kiongozi wa Chama atamnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Lulindi, Ndugu Jerome Dismas Bwanausi.
Wapi: Viwanja vya Chiungutwa.
Wote mnakaribishwa
Imetolewa na:
Arodia Peter
Afisa Habari ( ACT-Wazalendo).
Leo Septemba 18, 2020.