Zitto kuunguruma kesho Viwanja vya Furahisha MWANZA

Zitto kuunguruma kesho Viwanja vya Furahisha MWANZA

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
561
Reaction score
183
Chama cha ACT kikiongozwa na zuberi kabwe zitto watafanya mkutano mkubwa kesho jumapili katika viwanja vya furahisha mwanza.
 
Wafuasi wa mhaini ZITTO wengi wenu ni udini tu umewajaa ndo maana mmekuwa watumwa na washabiki wa neno lolote atakalo sema ZZT.
 
full kusambaza uzalendo mpaka kieleweke.
 
Hakika wana Mwanza tunamsubiri mzalendo kwa hamu kubwa! Kijana makini na mwenye akili kuliko mwanachana au kiongozi yeyote wa UKAWA.
 
ZZK (zana za kilimo mbeya) hana jipya. Full unafiki na utaperi. Kaloweekaaaaa. Hatuna muda huo bora tupige gambe pale villa
 
Na wewe ni kitu gani kimekufanya umekuwa MSUKULE WA MR ZERO DJ KENGEZA MBOWE?????

Una baba na mama kweli wewe? Kwa nini jf imekua hivi? Wazazi wako wamekulea katika maadili yapi? Ya kuwaheshimu wakubwa zako au?
 
Sisi huku mara tunakusubiri kwa hamu kubwa sana, watu wanajiandaa kuuvaa uzalendo
 
Back
Top Bottom