Zitto amesababisha Chadema imekufa
utakufa wewe,CHADEMA itaendelea kuwepo na kuwa imara zaidi ya mnavyofikilia! u just wait time will tell kama hao waliosema mwisho wa CHADEMA 2013 lakini leo ni 2015 wanahenyeshwa ile mbaya! 37 kwa 5 unafikiri mchezo? ukimuliza NAPE atakwambia mpaka sasa hajapata hayo matokeo! chezea wengine siyo CHADEMA.
hahahaaa.. Hii ndo tabu ya kuongea na chekechea...jina lako linatoa taswira ya ufikiri wako
unaweza ukathibitisha kwa data dahihi ufisadi wa lowasa?usiongeee ongeee tu tra nishawaaambia wanapoteza mapato usingeongea urojo kama ungelipishwa tozo kwa kila uongealo ,,,no data keep quite
ukoo wenu wote utasambaratika na kizazi chenu na chako ila chadema itaendelea kuwepo tu
cdm ni kama uislam au ukristo utakwepo tu ila waumini watakufa wengine watazaliwa.
Jina lako linatoa taswira ya ufikiri wako
Unaweza ukathibitisha kwa data dahihi ufisadi wa lowasa?usiongeee ongeee tu tra nishawaaambia wanapoteza mapato usingeongea urojo kama ungelipishwa tozo kwa kila uongealo ,,,no data keep quite
huu ndio mwaka wenu wa mwisho, vikumbuke vyama kama nccr, cuf viko wapi sasa?
mbona unatokwa povu? Data zipi unataka wewe juu ya huyo fisadi? Mtu aliachia kiti cha uwaziri mkuu kwa maslahi ya umma,alafu wewe unajitoa ufahamu kwa kumtetea huyu jamaa! Imekula kwenu!
Lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana
Baada ya hisia sasa imekuwa kweli Zitto kabwe rasmi ahamia ACT mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
Source:Magazeti ya leo
lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana
baada ya hisia sasa imekuwa kweli zitto kabwe rasmi ahamia act mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
Source:magazeti ya leo
​el sijui atamfuata akishapigwa chini may,2015 pale chimwaga???