englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
hat ammi mi nashangaa huyu psychopatic anavyozidi uonyesha viwango kw akuwa na criminal mindi.Sijui ndio anachukua kasi ambayo akiongezea na sdope aweze waface wana CDM watakakuwa wakimshangaa kama wao alivyowehuka.Wengine watamwangalia kam amekuja kumaliza hadi panya ili wasimnyime power. Kwa ujumla nasubiri sikia dram, kama si kugeuka kuwa msanii, wakati akaisubiri kupewa kipindi ktk chuo kikuu caho.Anayo ruhusa kuamua piga mipasho kama si hiphopWatu wana roho ngumu! Ingekuwa ni mimi nisingeondoka jimboni hadi miezi4