Zitto karibu NCCR

Ndugu usione vyaelea, vimeundwa! Andaeni wa kwenu, tukisema ukweli naomba uitajie jina la mbunge wa NCCR leo hii ambaye hakulelewa na chadema? Machali na kelele zake zote lakini ana heshima maalum kwa Chadema. yoote anayosema anataka akijenge chama ni experience na exposure aliyoipata akiwa CDM
 
usimdanganye mwenzako, NCCR ilishakufaga siku nyingi mbona.
 
kaka,kuna watu wanaofikiri kwa kutumia miguu! Kwa mtu anaetumia kichwa, kwa kipindi hiki tulichonacho sasa,sio muda wa kuongelea maswala ya siasa,bali ni muda wa kutafakari na kutoa mawazo ya namna gani wagonjwa mahospitalini watahudumiwaje.Imagine zaidi ya 201 walishaaga dunia,kisa wamekosa madk, wa kuwahudumia.Leteni hoja zenye tija,tena zenye nguvu,hoja kama zenu nyepesi ziplekeni FECEBOOK,huko ndio size yenu,mnataka kuwa wakubwa kumbe bado watoto wa fikra.
 

pengine una umri wa miaka kumi au husomi. kabla ya cdm ilikuwa zamu ya nccr mwaka 1995. usipende kuchonga tu. no reseach no right to speak.
 
umeshinda, sasa anzisha chama chako umpe zitto uwenyekiti if you think he is more potential... achaneni na CDM; mmeikuta haikuota kama uyoga na mutakufwa muiwache ikochanja mbunga; mtaji wa maskini ni majungu;
 

Mfa maji.....
 
Hivi huyo zito ni nani?mchukueni mtuachie chama chetu.hatupo CDM kwa sababu zito yupo.la hasha.tupo kwa ajili ya kuleta mageuzi ya kweli ktk nchi yetu.kama bado NCCR mnafikiria kuhusu siasa za kuhama vyama sidhan kama mtakua mmekomaa kisiasa.ila sishangai sana kwan naona laana aliyoiacha Augustine Mrema bado inawatafuna.
 
Siku moja kuna mdau hapa jamvini aliwahi kusema kwamba, maumivu ya mgogo uzeeni ni matumizi mabaya ya makalio wakati wa ujanani, inawezekana hata mleta hii mada ana matatizo ya maumivu ya mgongo!
 
kweli wewe ni mwiba, dr slaa hakushindwa kura za maoni karatu usipotoshe.
 
waliokutuma hawakufikiria vizuri sababu ni kwamba wewe uliyetumwa ni mtu ucye na akiri timamu.Hauwezi kutoa thread ya kijinga hivyo kwa watu ambao ni great thinkers.Kawaambie walikutuma watume mtu mwingine, wewe mawazo yako ni duni mno na kazi uliyotumwa ni ngumu sana ukilinganisha na uwezo wa akiri yako ulivyo mdogo.
 
Kama ningekuwa wewe ningemshauri aende TLP.. Kama ni kutaka kuwa mwenyekiti wa chama 2015 atapewa...lakini siyo NCCR ya Mbatia
 

Zitto kuondoka CDM yes unaweza ikawa sahihi kabisa; lakini kuhamia NCCR Hell No: Ni sawa na kuruka mkojo kukanyaga .....
 
We mwiba acha kukaribisha watu KABURINI, Mh. Zitto usimsikilize huyu jamaa.
 
Kwa mara ya mwisho ulienda lini Mirembe kuchunguzwa afya ya akili zako?
 

Hivi ina maana NCCR Magunzi hakuna watu wa kuongoza hadi kutafuta toka vyama vingine, mf. kafulila na leo tena mnamtaka na Zitto!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Vipi nikija mimi mtanipokea, kwa sababu naona huko wote ni mbumbumbu hamjui kuongoza!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ndugu,Wakati fulani watu uwa wana mawazo angalau yanayofanana na kujadili mambo yanayoendana lakini wakati mwingine watu hao hao hutofautiana. Mtoa mada amemkaribisha Mh. Zitto NCCR- Mageuzi ili agombee na kuchaguliwa kuwa rais mwaka 2015.Binafsi sina tatizo na ukaribisho huo wala sina tatizo na Mh. Zitto kuwa rais kupitia NCCR-Mageuzi, wasiwasi wangu ni kwa mtoa hoja kama ameambiwa aandike alicho kiandika au amewasiliana na Mh. Zitto! Nasema haya kwa kukumbuka kwamba Mh. Zitto alishatamka kwamba yeye HANA mpango wa kuhama CHADEMA kwa sababu yoyote maana ndio waliomjenga na kuonekana kama alivyo hivi sasa.Pili, Uchaguzi mkuu ujao utafanyika mwaka 2015, wakati huo inasemekana Mh. Zitto atakuwa hajafikisha umri wa kugombea urais kama inavyotamkwa katika ibara ya 39(1) (b) ya katiba ya 1977. Siamini kama hii ni njama ya kubadilisha kipengele hicho kwasababu ya mtu katika uandikaji wa katiba mpya.Tatu, NCCR - Mageuzi ya miaka ya nyuma na ya Mrema/Marando/Lamwai si NCCR- Mageuzi ya sasa. Kumpata mgombea hata kama ni nzuri wakamuuza na kununuliwa na watanzania sio kwamba nasema haiwezekani ila si mwaka 2015 labda kama tunapoteza muda wa huo atakaye kubali.Nne, Ningependa kujua mwitikio wa huyo mlengwa maana alikwisha sema hayupo kwa ajiri wa urais, bali anaamini urais utakuja tu endapo muda utakapofika, na nafasi hii haitatokana na chama furani bali watanzania watakapomtaka awe rais wa😵mbi: Tufanye kazi kwa bidii sana na kwa kulingana na nafasi zetu tulizonazo katika jamii (tuitumikie jamii) ili siku ya siku tuvune mavuno yakuridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…