Zitto karibu NCCR

Acheni tabia ya kuvuta bangi wakati. Taifa hili lina matatizo mengi ya msingi mnaacha kujadili hayo mnatuletea hapa ushabiki wa vyama usio na maana yoyote. Mtuachie forum mwende mkaendeleze uchafu wenu
 
Mkuu wangu huwezi kujenga chama ktk msingi mbovu na wala huwezi jenga chama na watu wenye kutaka madaraka...Hoja yako tayari imeshajenga hoja ndani yake inapofikia kwamba NCCR wanalenga kukiua Chadema badala ya kufikiria kuwakilisha wananchi. Vita haipo baina ya NCCR na Chadema bali mnaifanya vita kuwa ya watu jambo ambalo NCCR imekuwa ikiendesha siasa hizi kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000 na ndio ulikuwa kifo chake. Msingi wenu ni mbovu na hamtaweza kuondoka hapo mlipo hadi mjenge msingi mpya wa kiutawala...Kifupi NCCR kwisheny!
 
Sioni kitu unachoongea zaidi ya kutemea watu mate.
 
chadema wanafanya kazi ya kuwajenga vijana wakiwa bado mashuleni/vyuoni ninyi mliokuwa chama kikuu cha upinzani mnataka viongozi wa kudandia tu

Taarifa:- Zitto alisema hawezi kukihama CHADEMA kwa sababu anamapenzi nacho tangu akiwa na umri wa miaka 16 na amekijenga hadi unakiona hapa kilipo

Ushauri wangu kwako kaani chini Futeni uamuzi wa kuwafukuza mlowafukuza itawasaidia kuliko hil
i
 

Mkuu Mwiba umetoa hewa nzito kutoka kwenye tundu la masaburi yako, unatuchefua humu.
 
Mkuu Mwiba umetoa hewa nzito kutoka kwenye tundu la masaburi yako, unatuchefua humu.
Wait and C ! kama tundu la masaburi yako linatoa hewa nyepesi au nzito ,ila ujumbe umefika ,msije kusema hamkuambiwa au hukusikia :eyebrows:
 
Huko ni kuchoka kufikiri bado mna imani na vijana,mnataka tena waende ktangalia basketball marekani,mliekuwa mnamsifia kuwa kijana kaiweka wapi nchi?
 
Hamumfahamu huyu mwiba, kwa taalofa yenu huyu jamaa ni magamba damu hapa anajalibu kutuchanganya tu.
 

saburi likiwasha utulie!
 
Huko ni kuchoka kufikiri,yule mlie mshabikia kuwa ni kijana 2005 kaiweka wapi nchi,zaidi ya kuifilisi mpaka kucoz migomo kwa safari zisizo na msingi,ko na huyo mnataka akaangalie basketball marekani?Piga ua mzee yeyote atakae simama ana kura yangu,siwaamini tena vijana wenzangu,maana bado akili zao ziwezi kuongoza nchi,watakumbatia tu mafisadi.
 

Si haba unaweza ukawa na mtindio wa ubongo, kama huna basi uko njiani unakuja. . .
 
Umeshaachika kwa Mzee makamba naona sasa unamtaka Zitto,mm! Kazi ipo ulipigwa denda mpaka gari likagoma kuwaka.
 
Ingepigwa interview wakati wa kuingia humu ungepita?
 
Ebanaee hawa jamaa wa magamba wanaovaa mask ya NCCR katika kutaka kukiua CDM tumewagundua na mbinu zao za ki-intelijinsia zilizo duni.
 
Unao wadhifa gani NCCR? Umetumwa na viongozi wa NCCR au umekurupuka mithili ya mtu aliyefumaniwa katika ugoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…