Najua wana JF mtakuja NA mbinu za ajabu, Zitto yupo kwenye ziara ya kikazi na anastahili aingize pesa, hapo per diem =1500/- USD kwa siku. ACT itapata pesa za kufanya changamoto.
Wengine mshaanza tabia zenu za kumtilia mashaka, eti kwa nini yeye hakamatwi, NA mbona anasaidiwa NA Speaker wa CCM.
Zitto ni jembe NA sio fitina wala jasusi