Zitto Kabwe unamaanisha nini hapa?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Usishange, kama ulikuwa hujuwi ni hivi....huyu kijana Zitto ana-quote sentensi pamoja na ku-summarize baadhi ya vitabu na kuja kuleta kelele ili watu wamuone kuwa amesoma, kumbe si lolote. Huyu jamaa ni mtafuta kicki tu.
 
Hahahahahahaha "papaa nginyi " EL Ndo angeimeza kabisa ndani ya siku Mia moja 100.humu ndani huwa kuna vichwa na cylinder head.. Hata haya huuuna!!!
 
Hahahahahahaha "papaa nginyi " EL Ndo angeimeza kabisa ndani ya siku Mia moja 100.humu ndani huwa kuna vichwa na cylinder head.. Hata haya huuuna!!!
Kwa mawazo yako, ukafikiri mimi kumsema huyo dikteta uchwara, kunamaanisha ni shabiki wa EL! Umeingia cha kike bruh!
BTW, kwa kuwa umepiga ramli, siwezi kukujibu zaidi.
 
Kaka umenena kweli tupu
 
Kwa mawazo yako, ukafikiri mimi kumsema huyo dikteta uchwara, kunamaanisha ni shabiki wa EL! Umeingia cha kike bruh!
BTW, kwa kuwa umepiga ramli, siwezi kukujibu zaidi.
Basi Sawa Mkuu kumbe tuko pamoja kimawazo. Very funny though..
 
Si umeona enheeee, nakiri kabisa kuwa huyu kijana bado hajitambui na ndiyo maana wenzake wanamcheka. Anapingana na Magufuli, kisha hapo hapo anakuja kumsifia Putin kufanya yale anayofanya Magufuli.
Zitto anamkubali Putin ila yeye ni mwanasiasa na yupo upinzani na ana ndoto za kugombea urais,je unategemea atamsifia Magufuli? hivyo kinachofanya asieleweke ni unafki wa siasa kama tunavyojua siasa ilivyo.
 
Hivi demokrasia huleta maendeleo au maendeleo huleta demokrasia?
 
Hivi demokrasia huleta maendeleo au maendeleo huleta demokrasia?
Binafsi, naamini katika maendeleo kwanza, demokrasia baadaye. Lakini, kwa kuwa tulijiingiza mkenge kukubali demokrasia, haina budi rais kuiheshimu na kuisimamia. Ila akiona kwamba tuwe na maendeleo kwanza, halafu demokrasia baadaye, atangaze tu na kubadili katiba.
 
Acha viende chatu,mbona kabla yake vitu karibu vyote vilielekezwa kaskazini?

Mkuki kwa nguruwe,kwa binadamu mchngu sio
 
Hamuwezi kuelewa tafsiri hiyo wakt vyeti Vyenu vywenyewe mnanunua

Labda jitahidi kurudia tena kusoma hiyo habar kama unaweza kuelewa

Hii tunasoma cc magreat thinker na kutafakari na imewekwa kwa waelewa kama sisi.

Sio mamburula kama wewe!!!
 
Zitto anamkubali Putin ila yeye ni mwanasiasa na yupo upinzani na ana ndoto za kugombea urais,je unategemea atamsifia Magufuli? hivyo kinachofanya asieleweke ni unafki wa siasa kama tunavyojua siasa ilivyo.

Kijana hasomeki na hajitambui...imagine angekuwa rais?
 
Hakika, vingenevyo ni ujinga na unafiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…