Zitto Kabwe unamaanisha nini hapa?

Mleta mada,Zitto ana maanisha Pogba anajifanyia usajili wawafaransa wenzie pale Man U Head Office ili watawale timu huku akiua vipaji vilivyopo na kuwatapisha wale walioneemeka kabla kwani sio watu wake wa asili,anaunda timu yake kwa kugawa pasi na krosi,iwe kwa kichwa au mkono,goli litafungwa na red card zitatembea kama njugu kwa wapinzani!!
 
Sasa nimeonaaa, Yesuu nimeonaaaaaaaaaaas
 
Putin kiongozi bora? OMG, let me not comment
 
Hahahahahaha zile Bilioni nane ameshakwambia nani alikwapua?? Usiamini mwanaccm hata siku moja
Kwasababu hiyo hiyo ndiyo iliwapa watanzania wakati mgumu wakati UKAWA ilipompitisha mwana CCM mwingine awe mgombea urais wakaona bora waendelee na wale CCM A. Hatutapata mabadiliko kwa siasa hizi zilizopandikizwa na CCM mpaka tutakapoamka na kutumia akili zetu tulizopewa na Mungu kuliko kutumiwa na wanasiasa wa CCM na UKAWA maana wote ni walewale tofauti wamebadilisha rangi ya uniform zao kutokakijani mpaka magwanda na wengine wamebaki na mashati ya kijani. hawa wa mgwanda mengine ni vinyonga hatuujui uwezo wao wa ulafi ukoje kama ni zaidi ya hawa tulionao ama wana unafuu... Mungu anajua maana tumeshalaanika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanangu kunywa bia nakuja kulipia
 
Hahhaaha.... Siasa ngumu sana.... You don't have to trust anyone but yourself..
Politicians are not human and they have no any elements of humanity and dignity to their own society.you should come with with ambiguous questions.
What do they want, for which circumstance ?
What is a real gaol?
Sometime you could be very irritated with those annoyed words.but who irrigating this toxicity situation,just a this called democracy.
What is democracy.at total meaning.......no one from Africa as darkness continent could address smoothly rather copying decorative words from our ancestors white men.
Please Africa lets sit one.chair and talking to each other by using our words
 
Mwinyi busara 100%
 
Kwahiyo Abramovich alikuwa mtu wake wa kribu na wa dini yake?
 
Ukiona akili moja inamuwazia au kulia yamini mwingine-basi utambue yuyo lazima atakua(ndata manyata)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…