Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 440
- 3,211
Taarifa kutoka Kigoma zinazai dalali wa siasa, Zitto Kabwe aliwekwa mahabusu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi mkuu kwa kuleta vurugu baada ya kushindwa uchaguzi.
Inadaiwa aliposhindwa kulinda kura kama alivyojinasibisha kabla, Zitto alianzisha vurugu akipinga ushindi wa Baba Levo, na hatimaye yeye na wafuasi wake wakakamatwa na Polisi kisha kuwekwa selo.
Kwa sasa yeye yupo nje, lakini wafuasi wake wameshtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha, pamoja na madai mengine yanayowafanya wabaki magereza.
Zitto, shetani hana rafifiki, hii iwe fundisho kwako.