Zitto Kabwe tena katika issue ya ndege ya Boeing

Tumshukuru Mungu amefanya mwenyewe (asiyefanya makosa), vinginevyo sasa hivi tungekuwa tunazungumzia 'msiba' wa mtu kutumbuliwa.
 
nafikiri kuna jambo ZZK amelinena "between the lines"

kama kweli tumepigwa na boeing basi hii ni kashfa kubwa kwa boeing na kuna uwezekano ikachafua reputation ya boeing

ila kama kuna ufisadi umefanywa basi boeing hawatakubali kuchafuliwa kizembe, they're definitely gonna do something about it
 
Acha siasa nyepesi, serikali imeshakuhakikishia ndege yetu si miongoni mwa "terrible teen", wewe unaendelea tu neno la Mange na Zitto, muda utawaumbua tu.
Hata suala la njaa ilkiri hakuna njaa juzi tunamuona Polepole anasema eti hawakujua kama Longido kuna njaa kiasi hiki na hizi bombader time will tell
 
Kuna watu huwa hawataki kuhoji they belive every government statements
Kulikuwepo na Meli inayoitwa Mv Dar es salaam ilikuwa ifanye safari zake kati ya Dar Bagamoyo lkn majuzi wamekabidhiwa jeshi maana haifai kwa matumizi ya abiria
 
Dah, Bila Mange Kimambi tusingejua Hili...
Ukweli una nguvu sana aisee na ndio maana ukiutafuta blindly utaishia kuamini kuwa Mange asiyekuwa hata na Vitz hajui lolote kumlinganisha na 'prince bashi' anayeng'ara kwenye Lexus V8 na mlingoti wa bendera juu!
Na muda ulivyo na urafiki wa karibu na ukweli sio ajabu tukaja kushuhudia Mange mwenye vihereni kama matairi na vinywele vyake anatambulika kama shujaa wa taifa na mzalendo namba moja. Ngoja tusubiri maana mjadala ndio umeanza!
 
Mahakama za mafisadi zipo kwanini musimshitak??
Ulishaona fisadi gani aliyeweza kushindwa kesi mahakamani? Utakuwa unajisumbua tu na kupoteza muda na pesa yako kumshitaki fisadi mahakamani maana hutamshinda.
 
Naomba tusiweke siasa za uchama katika hili. Naamini tutamtetea sana mkuu kwa sababu tunataka kumtetea, lakini ikithibitika maneno ya Zitto ni ya kweli, tutainamisha vichwa chini kwa aibu. Binafsi nimemuelewa sana Zitto.
Ukweli ni kuwa tumeshspigwa cha juu na mkubwa na mwanae
 
Ukweli ni kuwa tumeshspigwa cha juu na mkubwa na mwanae
Nashangaa pale watu wanapoleta uccm na uchadema ktk ishu sensitive kma hizi, wakati mkuu wao wanayemtetea ameshasema maendeleo hayana chama. Halafu mwisho wa siku na wao wanajiita WAZALENDO. Ukweli lazima usemwe, hata kma ni mchungu.

Sent from my D5322 using JamiiForums mobile app
 
kioo cha ndege yaani dirisha. hivyo vinawekewa oda jamani. kampuni haizalishi kila kitu. ila inaunda. kwa mfano. ni gari pekee mikanda ya madereva huonyesha mwaka halisi wa gari ilitengenezwa lini. vingine ni parts tu. na bado viti vinatoka ktk viwanda vingine. mf. samsung anatengeneza simu lakini betri inatoka china.
 
Ulishaona fisadi gani aliyeweza kushindwa kesi mahakamani? Utakuwa unajisumbua tu na kupoteza muda na pesa yako kumshitaki fisadi mahakamani maana hutamshinda.
shutuma dhid yake zinakujaje???
 
Kuna watu huwa hawataki kuhoji they belive every government statements
Kulikuwepo na Meli inayoitwa Mv Dar es salaam ilikuwa ifanye safari zake kati ya Dar Bagamoyo lkn majuzi wamekabidhiwa jeshi maana haifai kwa matumizi ya abiria

Ni ujinga kuendelea kuacha kuihoji serikali wakati serikali yenyewe ndio imetufundisha tuihoji kutokana na kufanya mambo ya hovyo na kuitia nchi hasara.. Mijitu mingine nafikiri hailipi kodi ndio maana haina uchungu na inaleta mzaha kwenye mambo ya muhimu..
 
Sasa kama siyo terrible teens ni ndege za aina gani? Mbona Serikali haisemi ni series ipi ya Dreamliner?
Serikali imeshajibu bungeni, kuwa 787-8, no 719, sasa sijui Zitto anataka ajibiwe nini zaidi ya hilo.
 
Mzee wa tuhuma
 
kama ndege aliyonunua Magu na Mwanae dotto ni boeing 787-8 LIN 20 hiyo ni terrible teens. hata ukidhikiri uchi haitabadili ukweli
Inaonekana hujui hata kwa nini ziliitwa terrible teens, kama unaelewa hilo unatakiwa ujue pia order yoyote juu ya 19 ya hiyo model si "terrible teen", vilevile Boeing ya Tz ni 787-8, no 719, sasa 719 hadi 19 ni ndege zaidi ya 700 zimeshanuliliwa, sasa sijui unacholazimisha hapa ni nini.
 
Screenshot hiyo website, usipende kuchukua maneno ya kuambiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…