Zitto Kabwe:Tamko la Polisi dhidi ya Mikutano ya Siasa ni la "Mwendokasi"

Bila vyama vya siasa hatujui nn kinaendelea kwa hii nchi ni bora vilete changamoto japokuwa vinaburuzwaa
kwa mfumo huu wa Mh. Raisi, mkuu wa mkoa ni kada wa CCM, mkuu wa wilaya ni kada wa CCM, mkurugenzi pia ni kada wa CCM, kweli vyama vya siasa vitapata pa kupumulia????????????
 
Hivi tz kuna polis?
Tatizo na wabongo na manasiasa ni miss use of laws.ili atekeleze dhamira zao lakini vyombo vya dola hutama madhumuni na athari za vikao hivyo.sasa shauri zao wanasiasa hasa wa upinzani kwa kufukiri watz wote wanaakiki kama zao
 
Jana mameya wa ukawa wamefanya mkutano bila shida.

Leo mameya wa UKAWA wamefanya uchaguzi wao bila shida.

Hamna uvccm yoyote aliyeenda kuzuia hiyo mikutano. Sasa 23/ 7 tuje tuone kibavichaa kimetanguliza tumbo kuja Dodoma eti kuzuia mkutano wa ccm!!!!
hata mtu akitumia akili ya darasa la kwanza anaweza jua kwann mkutano wa mameya wa ukawa imefanyka bila kusumbuliwa na polisi.....
 
Jana mameya wa ukawa wamefanya mkutano bila shida.

Leo mameya wa UKAWA wamefanya uchaguzi wao bila shida.

Hamna uvccm yoyote aliyeenda kuzuia hiyo mikutano. Sasa 23/ 7 tuje tuone kibavichaa kimetanguliza tumbo kuja Dodoma eti kuzuia mkutano wa ccm!!!!

hapa tumbo linahusika kufikiria akili zimefichwa kwenye chupa kichwa hakina kitu kijesh na utani ungeitwa empty magazine.
 
Back
Top Bottom