Kwahiyo wewe ni mtu makini?Inayoamini kuwa ni akili kubwa inapoamua kutia ujinga akili ndogo.
Zitto na kampeni ya kutia taharuki raia dhidi ya serikali yao ungetegemea uachwe tu uendelee kumwaga sumu chafu???
Ni bahati nzuri na mbaya kwamba kwa Zitto bila kufanya anachojaribu kukifanya sasa basi maisha yake ya kisiasa hayana afya, na huenda ikawa mwanzo wa mwisho japo anaendelea kuamini hakuna wa kumshinda au kumwondoa kwenye reli nchi hii. Kuja kutambua zama si zake huenda ikawa too late....watu makini are no longer on his side....
Inayoamini kuwa ni akili kubwa inapoamua kutia ujinga akili ndogo.
Zitto na kampeni ya kutia taharuki raia dhidi ya serikali yao ungetegemea uachwe tu uendelee kumwaga sumu chafu???
Ni bahati nzuri na mbaya kwamba kwa Zitto bila kufanya anachojaribu kukifanya sasa basi maisha yake ya kisiasa hayana afya, na huenda ikawa mwanzo wa mwisho japo anaendelea kuamini hakuna wa kumshinda au kumwondoa kwenye reli nchi hii. Kuja kutambua zama si zake huenda ikawa too late....watu makini are no longer on his side....
Wanatafuta vibarua baada ya maisha ya kustaafuMa RPC wote wakistaafu wanaingia kugombea ubunge na wengine wanateuliwa bado kuwa ma DC na makada! Wanajikomba kwa watawala!! Hawana lolote! Ile damu ya wasio hatia!! Mwangosi itamuandama Kamuhanda hadi kaburini!!
Kuna genge la Siasa lenye silahaHivi tz kuna polis?
Kauli yako inaukweli 100%Kuna genge la Siasa lenye silaha