Zito kasema ukweli kwa mfano huyu mwenyekiti wa wazazi wa CCM taifa amekuwa anatoa matamshi ya hatari sana jukwaani kuhusu CDM kuwa ni chama cha kikabila na cha kidini, mimi binafsi kama mwana CCM sikubaliani na viongozi wa hulka za hatari kama hawa kwani ndizo zinazoleta chuki na kujenga matabaka ndani ya nchi yetu. Nawasihi viongozi wa kisiasa waache tabia na kauli zinazochochea chuki kwa watanzania bila sababu. Na tuwakatae viongozi wa sampuli hii.
Hatua ilikuwa ni kuifungia radio iman kifungo cha milele na sio miezi kadhaa tu, dhambi yao haivumiliki lakini kwa uislamu wa zitto hawezi kutamka hilo
UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali
Hata nukuu mnaiba za biblia! Hivi kitabu chenu kina shida gani hata hamkitumii? Ndio maana watoto wenu wanawapa watoto wetu wakikojolee, sababu ni kwamba mmekalia kutumia biblia kukashifu ukristu kisha hapa unataka kunukuu kutafuta amani! Huyo Nivea wala mi simjui, ninamjua Yesu aliyenikomboa na kunifanya nisiwe mnafiki. Nimemsema Zitto kwa sababu ni muislamu na awaambie waislamu wenzake. Mkosamali akiwasema si mtampiga mawe. Makafiri wakubwa nyie!

zito kasema ukweli kwa mfano huyu mwenyekiti wa wazazi wa ccm taifa amekuwa anatoa matamshi ya hatari sana jukwaani kuhusu cdm kuwa ni chama cha kikabila na cha kidini, mimi binafsi kama mwana ccm sikubaliani na viongozi wa hulka za hatari kama hawa kwani ndizo zinazoleta chuki na kujenga matabaka ndani ya nchi yetu. Nawasihi viongozi wa kisiasa waache tabia na kauli zinazochochea chuki kwa watanzania bila sababu. Na tuwakatae viongozi wa sampuli hii.
Hata nukuu mnaiba za biblia! Hivi kitabu chenu kina shida gani hata hamkitumii? Ndio maana watoto wenu wanawapa watoto wetu wakikojolee, sababu ni kwamba mmekalia kutumia biblia kukashifu ukristu kisha hapa unataka kunukuu kutafuta amani! Huyo Nivea wala mi simjui, ninamjua Yesu aliyenikomboa na kunifanya nisiwe mnafiki. Nimemsema Zitto kwa sababu ni muislamu na awaambie waislamu wenzake. Mkosamali akiwasema si mtampiga mawe. Makafiri wakubwa nyie!
Hata muongee matusi gani masisiem lazima mng'ooke,kwa taarifa yenu tunataka kamanda jasiri kama Mh.Lema na sio kilaza kama lukuvi na kampani yake....UKIJARIBU KUANGALIA HEKIMA iliyopo katika mchango wa ZZK jana bungeni!! unaweza usifikirie kama anatoka katika chama kilekile na mbumbumbu GODBLESS LEMA... kaongea ukweli mchungu,ambao hakuna aliye na uwezo wa kuusimamia wala kuuongea. katoa lawama kwa kila anayestahili na hata yeye amukuwa tayari kubeba lawama kwa nafasi yake.. na kwa sababu ni watz wachache walio na uzalendo na ukweli kama ZZK, basi tutarajie matusi na kejeli juu yake bila uchambuzi wa mantiki toka kwa wachangiaji.
this guyzzk is presidential material no wonder hata adui zake wanamkubali
Akiwa mtu wa mwisho kuchangia katika hotuba ya wizara/mambo ya ndani bwana Zitto Kabwe alisema watanzania wanaishi kwa umoja na wanashirikiana katika kila jambo kwani wanashirikiana katika mambo mengi na wanaochochea udini ni viongozi hasa wanasiasa kwani mtu huzungumzia udini katika majukwaa ya siasa huku watu elfu tano wakiwa mbele yao na kama ilivo bungeni mtu anazungumzia suala la udini na anaona fahari kwa manufaa yake binafsi.
Akaongeza kuwa, serikali haipo tayari kuchukua hatua kwa yoyote anayesemwa anatumia udini kwa manufaa yake...huku wakiwa na uwezo huo.Pia akaiasa serikali kuchukua hatua sasa badala ya matamko tuu.
Kweli hili ni la kweli kabisa.

Ndoa ya BAKWATA NA SERIKALI IVUNJWE ILI WAISLAM TUUNDE CHOMBO CHETU HURU AMBACHO KITAKUWA NA BARAKA KUTOKA KWA WAISLAM WOTE KULIKO HII BAKWATA AMBAYO NI KAMA TAASISI YA CCM. Kwahl nampongeza Zitto.
Achana na wakristu! sisi tuna njia zetu za kupashana habari na sio kufuata ushauri wa kafiri kama wewe. Wasemeni waislamu wenzenu waachane na ugaidi. Acheni kuogopana. Kama unaogopa kuchapwa bakora na muislamu mwenzako kisa kumwambia ukweli hapa duniani, subiri bakora za moto kafiri mkubwa we!

Msomaji yeyote anaesoma ulichokiandika anajua nani kafiri kati yangu na ww.Matusi na kashfa ndio kimbilio la mkosa hoja na mtu asiyejijua hata yy mwenyewe.Chuki yako haikupi nafasi ya kufikiri japo kigogo.Ukristu wangu unaniambia nn ktk suala kama hili.Kwani mfuasi wa Belzebul ana muda wa kumpendeza Mungu?Ungekua unaijua Biblia yako na kuiheshimu usingethubutu kunitukana.Bahati mbaya sana kwako,sikio la kufa halisijii dawa.
Pamoja mkuu.Naheshimu ushauri wako mkuu.Mwenyezi Atujaalie tupendane,Atuepushie kila shari,Atuongeza ktk kweli yote,Atuondolee chuki,ubinafsi na hasira ili tuwe kweli wana wa Mungu wa Kweli na wa pekee.Kwa Wakristu,tumsifu Yesu Kristu na kwa Waislam assalam alaykum.Hii iwe salamu yetu, tuondoe hii kansa changa inayolinyemelea taifa letu.Wakuu mnazidi kupoteza uelekeo wa hii thread. acheni basi.
That is exactly how wise man is.Pamoja mkuu.Naheshimu ushauri wako mkuu.Mwenyezi Atujaalie tupendane,Atuepushie kila shari,Atuongeza ktk kweli yote,Atuondolee chuki,ubinafsi na hasira ili tuwe kweli wana wa Mungu wa Kweli na wa pekee.Kwa Wakristu,tumsifu Yesu Kristu na kwa Waislam assalam alaykum.Hii iwe salamu yetu, tuondoe hii kansa changa inayolinyemelea taifa letu.