Zitto Kabwe, STOP using Ramadhan Semtawa kuivuruga CHADEMA

Ndiyo maana nimesema kwamba kuwaamini waandishi wa habari wa nchi hii unahitaji akili ya mwendawazimu.
 
Zitto ameshapoteza credibility yake kwa umma tayari.
 
Inawezekana mhariri wa gazeti hilo amempa mwandishi huyo assignment ya kufuatilia habari za Zitto!
 
Mkuu huamini nini sasa na wakati tayari Semtawa anaifanya? Halafu tunategemea zao la waandishi kupeleka wakapambane na wengine CNN
 
Jamani mpangilio wa huu uzi unahitaji siku nzima kuelewa nini kilichokusudiwa na mleta uzi. Bado naendelea kutafakari.
Nadhani mleta mada anataka kujua ni Zitto mwenyewe anayezisanii hizi habari(manoeuvre) au kuna mtu anatumia gazeti la Mwananchi kwa lengo la kumgombanisha Zitto na Chadema ili kuleta mpasuko wa kukidhoofisha chama

MY TAKE: I've seen self implication/incrimination in Zitto's response to these allegations. For starters, let's wait for those speeches he has promised to upload to his blog
 
Duuh, isijekuwa majungu ni mengi kuliko ukweli!
 
Watu walio maasimu wa CHADEMA ndio watetezi na mashabiki wakubwa wa Zitto, is it coincident?
 
Hizi ni habari za udaku!!!

Kwa nin usizitoe hizi shutuma kwa bosi wenu hapo Mwananchi ili awajibishwe badala ya unazileta hapa janvini.

Unamlaumu kwa kuandika habari lakini humlaumu mhariri wa Gazeti la Mwananchi ambaye ndiyo mwenye ufunguo wa ipi na katika muda gani habari iwekwe kwenye gazeti.

 

Uko sahihi kabisa
 
Last edited by a moderator:
Wakiambiwa huyu dogo haeleweki wanadai ooh ukabila haya waangalie na hizo makala za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…