Zitto Kabwe, STOP using Ramadhan Semtawa kuivuruga CHADEMA

Zitto Kabwe, STOP using Ramadhan Semtawa kuivuruga CHADEMA

Ukwaju Hakuna cdm aliyeonekana kwenye migomo ya maDR, ila nakuuliza tu ni kwamba humu JF wote wanaoishabikia cdm ni wachagga na wakristo?? Mnajidanganya wewe na wenzako wenye mawazo kama hayo, kama kweli una ushahidi wa wabunge wa cdm kula misaada wanayopewa tafadhali tushushie data hapa ili tuwakatae maana hilo ndio tatizo la serikali ya magamba tunayopambana nayo..

Zitto mimi nakukubali sana tu ila kuhusu mwandishi tajwa ni kweli hupenda kuandika habari -ve za cdm, na hiyo inaonekana kuna mkono wa mtu.. ukijaribu kuangalia kama mwandishi utagundua huandika habari ambazo anatarajia zitaleta msuguano ndio maana humwandika Zitto kwa staili ya kutikisa cdm yote.. Kwani unafikiri mzozo ukizuka ndani ya cdm Zitto na kina Slaa watasalimika? Hiyo ndiyo strategy ya Semtawa..
 
Last edited by a moderator:
- Chadema na kivuli cha Zitto, kitawatesa mpaka mtakapokubali kwamba ndiye mwenye uwezo wa kukisaidia chama chenu kubadilika na kukubalika zaidi na Taifa,

- Chadema mnahitaji a big sacrifice kukinusuru chama kiweze kukubaika na taifa, punguzeni viongozi wa juu wa kabila moja, ingawa wenyewe in a private wanasema walikuwepo kwanza, ukweli ni kwamba mnahitaji kubadiika hawa kina Mtawa mtawaonea bure tatizo mnao wenyewe!!

Es!!
 
Hii profession ya ajabu sana! Inakuaje mtu mwenye elimu ya darasa la saba anakuwa mwandishi wa habari, tena kwenye gazeti reputable kama Mwananchi? No wonder tunasoma **** kila uchao kutokana na waandishi wasio na upeo. Siamini kama mtu mwenye elimu ya darasa darasa la saba (au hata Form Four) ya miaka hii anaweza kufanya kazi nyeti kama ya uandishi wa habari.

Kama ni kweli elimu yake ni ya darasa la saba, basi hii habari atakuwa amepewa aiandike angalia hata hapo in blue

Zitto Kabwe boosts CCM will never defeat him
Thursday, 09 September 2010 08:34

By Ramadhan Semtawa

Former Kigoma North MP Zitto Kabwe has vowed to retain his seat in the coming General Election despite plans by Chama Cha Mapinduzi to oust him.

Mr Kabwe made the statement after the CCM campaign manager, Mr Abdulraham Kinana, announced plans to win all constituencies that were under opposition parties in the last five years.

Mr Kinana was quoted as saying that CCM planned to win all constituencies which were under opposition parties. He said they were going to set camps in those constituencies, including Kigoma North and Moshi Urban, in a bid to dislodge outgoing MPs.

Mr Kinana was quoted to say that there was a need for the ruling party to strengthen its campaigns in some constituencies which have been dominated by opposition parties for a long time now.

But in his response Mr Kabwe said the ruling party had no power to oust him. He said Kigoma North would always remain an opposition party's constituency since voters were aware of the strength and importance of electing him.
 
Wewe Ukwaju uliona wapi ufalme ukijifitini wenyewe? Ukijifitini utakuwa umejibomoa wenyewe. Kwa msingi huo huyo ni gamba na yuko kwa manufaa ya magamba ndiyo maana magamba walimpa uenyekiti katika kamati za Bunge pamoja na mwenyekiti wa TLP kwa kuwa wako upande wa magamba. Bila shaka na wewe uko upande wa magamba.
 
mwacheni ZITTO hilo ni shoka halipo hapo CDM kwa ajili ya maslahi ya Chama bali ni kwa Watanzania wote, yeye na Shibuda wanayaona mengi likiwemo la UDINI na UKABILA sijaelewa kwanini mnamwogopa mpaka story za zamani mnaziweka humu, mbona zile za Malasya alipomfuata tajiri mkubwa wa huko kuhusu kukiinua kilimo cha michikichi huko Kigoma hamjakisema?

Barabara mbalimbali za Mkoa wa Kigoma na madaraja ambayo hayapo katika jimbo lake? mara ngapi ameibana Wizara ya Nishati na madini? umeme wa gasi, makaa ya mawe nk.

Ni Mbunge gani huko CDM ameshawahi kuwaombea wananchi wa jimbo lake misaada na akaupeleka huko mtoa Mada nimwagie Data hapo msikae mnakiogopa kivuli cha msomi. Ni tofauti kabisa na wale wanaotaka MH. SPIKA MWOONGOZOOOOO, SISI HATUMTAMBUI RAIS KAIBA KURA lakini posho wanapokea.

km ni ukabila na DINI yake mwacheni ZITTO hamtamuweza maana Watanzania tumemwona alivyokamaa kizalendo.

Mwisho hivi mmeshamuona katika mgogoro wa migomo ya maDr? Jibu mwenyewe
Hivi chadema muislam ni Zito Peke yake? Jaribuni kuweka propaganda ambazo hata Great thinkers wakisoma waone kuna sense nawashauri mrudi tena kwenye taasisi yenu ya mafunzo mkajinoe zaidi maana kuna tetesi mmenunuliwa mitambo pia ya kuingilia mawasiliano ya watu na watalaam wa kufoji saini za watu, ila mjipange vizuri kwani kushindana na watu makini yahitaji kutumia akili sana
 
Na kwa nini iwe ni zitto tu, mbona majembe yako mengi Cdm? Ila kila siku ni zito na isiwe lisu? Ajiangalie atakuwa anamatatizo. Haiwezekani kila siku yeye tu mtaka vyeo kabla ya muda si asubili muda muafaka achukue fom agombee cheo chochote. Ila c muda huu kuanza kuwachanganya makamanda zitto kaka tulizana unawapa faida maadui. Au wew c mwenzetu?
 
Zitto, Membe January hii ni hatari

Miezi ya nyuma nilileta hii mada hapa jukwaani lakini kwa bahati mbaya MODs waliinyofoa dakika 20 baada ya kuiweka. Sina budi kurudisha hii mada baada ya sakata la Zitto Kabwe, Nassari, Alima Mdee pamoja na gazeti la Mwananchi. Kwa muda wa miaka kadhaa sasa, nimekuwa katika tasnia ya habari na lazima nikiri kwamba mengine yanayofanyika katika hii tasnia ni ya kukatiza moyo hasa kazi za wanahabari zinapoingiliwa na wanasiasa. Kwetu sisi wanawake inakuwa ni vigumu sana kukataa kutii haya maagizo ambayo mengine unaona kabisa ni za vitisho

Zitto Kabwe, January Makamba, Bernard Membe na hata Ngeleja kwa siku za nyuma alishiriki sana katika kuingilia kazi za waandishi. Kinara wao akiwa Zitto January na Membe. Hawa viongozi hasa Zitto wamezoea sana kujiandikia makala na hata habari kisha kumlazimisha mwandishi kuzichapisha ukurasa wa mbele kwa gharama yoyote ile. Wanatoa hela nyingi sana kwa waandishi na wahariri. Mbaya zaidi ni kwamba hawa viongozi wanajitengenezea kashfa au kutoka ndani ya vyama vyao.

Matokeo yake kesho wanaitisha waandishi tena kukanusha (kashfa) zao za kujipikia wakati ni wao ndio chanzo cha hizo habari. Lengo lao kubwa ni kutafuta huruma kutoka kwa umma wa kitanzania kwa vitu ambavyo havipo.
Kinachonishangaza ni kwa nini mtu ajichafue kwa kujitengenezea kashfa maadui feki ndani ya chama chake heti ndio wanaomchafua kumbe ni yeye mwenyewe alafu kesho yake akane hizo taarifa? Nadhani tunaelekea kubaya hawa watu wakiendelea nah ii tabia. Moja ya habari hizi ni zile zinazomlaumu Mbowe kam mtazikumbuka..

nawakilisha
 
Mkuu kama kweli hii tabia wanayo hawa wanasiasa wetu basi ni vyema wakaiacha kabisa kwani umaarufu wa kisiasa hautafutwi kwa njia hizo.
 
- Chadema na kivuli cha Zitto, kitawatesa mpaka mtakapokubali kwamba ndiye mwenye uwezo wa kukisaidia chama chenu kubadilika na kukubalika zaidi na Taifa,

- Chadema mnahitaji a big sacrifice kukinusuru chama kiweze kukubaika na taifa, punguzeni viongozi wa juu wa kabila moja, ingawa wenyewe in a private wanasema walikuwepo kwanza, ukweli ni kwamba mnahitaji kubadiika hawa kina Mtawa mtawaonea bure tatizo mnao wenyewe!!

Es!!

zidumu fikra za mwenyekiti. Au Peoples Power. Uzuri wa wabongo wanapenda fasheni sasa fasheni ni CDM. Sasa wewe hamuwezi fisha ideology za ukombozi unless mbadilike kwa kutoa kafara ndani ya magamba la sivyo hakuna tawala iliyotawala milele toka mwanzo wa dahari. Wako wapi Warumi, Ottoman Empire etc.
 
He is a real hypocrite Zitto, I have always doubted this man. He is not genuine, selfish and thinks he is clever!
You are damn wrong sir, and dont take Tanzanians for a ride, utaumbuka tu kwani hakuna siri chini ya jua.

Ulaaniwe!




kijamaa kibishi,hadi kimemuajiri na mwana habari...................... tutakipiga chini mana kinazidi kutusumbua. toka kilivyozibwa mdomo kwa kupewa uenyekiti wa kamati kipindi kile basi kanatusumbua kweli. kameshanunuliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duh namuamini na kumkubali sana Mh. Zitto, lakini kwa tuhuma hizi sina sababu ya kutokumwamini mwanzisha thread mpaka itakapokua proved wrong na wahusika.
 
Wana Jf nimemfahamua Ramadhani Semtawa kwa kipindi kisicho zidi miaka 5 sasa tangu nijiunge na kampuni ya Mwananchi,Semtawa ni kijiana ambae yuko tayari hata kupoteza utu wake na ubinadamu wake pale anaposimamia maslahi yake binafsi,kielimu wakati anajiunga hapa alikua ana elimu ya Darasa la saba kwani alikua amefeli kidato cha nne,kwahiyo amefanya jitihada za kujiendeleza kwa kupewa fedha na watu kama SAMWEL SITA, CHENGE,ZITTO KABWE na wengine.

Semtawa kwa sasa anafanya kazi kwa ukaribu sana na familia ya nyumba kubwa (ikulu) amekuwa akipewa vijisenti vya kujikimu kwa watu wanaotokana na familia hiyo kwa mpango wa kumsaidia bosi wake mwingine ambae ni waziri (membe) semtawa ana GAMBA la kujiita mzalendo kama tulivo waandishi wengi ambao tunafanya kwa kujiita wazelendo wakati sisi ni wajasiria mali.

Ukimsoma semtawa ndie ambae huandika story nyingi za ZITTO,SITA,MEMBE,CHENGE.na hivi karibuni amekuwa ni kijana ambae anafanya kazi kwa kusaidia mawazo ya BOSI WETU anaitwa MAKUNGA na Pia hapa ndani sisi humuita jembe la IKULU, ukitazama mahusiano ya IKULU,ZITTO na mpango mchafu wa kukibomoa chama chetu vyote hivi vitakueleza nini bwana mdogo semtawa anafanya.

Wana Jf elimu yake sasa ana DIPLOMA ya DSJ ,pia sasa hivi ana rudia mitihani yake ya kidato cha nne,uwezo wake wa kufikiri mpaka hapa mnaweza kuupima,huu ni uelewa wangu mdogo juu ya huyu bwana mdogo,anatokea mkoa wa Tanga na mtaona mahusiano ya kijografia na bagamoyo.



nafiri ni wakati muafaka wa ama Ramadhani au mh.Zitto kuja kulifafanua hili hapa zaidi mkanganyiko huu sasa too much ingawa tunafaham ni uhuru wa mtu na vyombo vya habar kuandika habari ila kwa hili tungewaomba ufafanuzu jamani
 
Yaani wewe muda wote upoo unakomaa na zitto tu nani anakulipa wewe.Mada zako zote ni kumponda zitto tu hapa umewaongeza hao wengine kinafki tu lakini nia yako ilikuwa zitto ni nani hasa unamtumikia wewe peleka upuuzi huko
 
Yaani kwa jinsi unavyotaka kutudanganya humu JF ni dhahiri kabisa wewe ndiye STANDARD SEVEN. Ni gazeti gani ambalo mpka sasa linaajiri darasa la saba? Toa hapa pumba zako, acheni kumwandama ZITTO na ni lazima awabwage MBOWE na SLAA. Chenge, Membe, SITTA na ZITTO wapi na wapi bwana.

Sina uhakika na Membe na Chenge lakini nilicho na uhakika ni kuwa Zitto ni rafiki mkubwa wa EL na RA.
 
Kwani haujui kuwa ZZK na JM wnahisa JF...post zote za kuanika udhaifu wao hau unafiki wao huwa zinatoleewa fast fasta lkn wanazotuma wao kujitafutia umaarufuu zinakaa hata siku 2 ahaah ah haha wasanii hao wa mjinimjini wanautaka u rais kisanii vilevile kwa kuwapumbaza wao ni vijana wazalendo ...mzalendo gani anakuwa na mali kama mafisadi
 
Duh namuamini na kumkubali sana Mh. Zitto, lakini kwa tuhuma hizi sina sababu ya kutokumwamini mwanzisha thread mpaka itakapokua proved wrong na wahusika.

Mkuu huna sababu ya kumuamini Mtu mwingine yoyote yule apart from your mother and God, hao wengine wanaweza kukubadilikia mda wowote, yeye ni binadamu na anakosea..
 
Back
Top Bottom