Wana Jf nimemfahamua Ramadhani Semtawa kwa kipindi kisicho zidi miaka 5 sasa tangu nijiunge na kampuni ya Mwananchi,Semtawa ni kijiana ambae yuko tayari hata kupoteza utu wake na ubinadamu wake pale anaposimamia maslahi yake binafsi,kielimu wakati anajiunga hapa alikua ana elimu ya Darasa la saba kwani alikua amefeli kidato cha nne,kwahiyo amefanya jitihada za kujiendeleza kwa kupewa fedha na watu kama SAMWEL SITA, CHENGE,ZITTO KABWE na wengine.
Semtawa kwa sasa anafanya kazi kwa ukaribu sana na familia ya nyumba kubwa (ikulu) amekuwa akipewa vijisenti vya kujikimu kwa watu wanaotokana na familia hiyo kwa mpango wa kumsaidia bosi wake mwingine ambae ni waziri (membe) semtawa ana GAMBA la kujiita mzalendo kama tulivo waandishi wengi ambao tunafanya kwa kujiita wazelendo wakati sisi ni wajasiria mali.
Ukimsoma semtawa ndie ambae huandika story nyingi za ZITTO,SITA,MEMBE,CHENGE.na hivi karibuni amekuwa ni kijana ambae anafanya kazi kwa kusaidia mawazo ya BOSI WETU anaitwa MAKUNGA na Pia hapa ndani sisi humuita jembe la IKULU, ukitazama mahusiano ya IKULU,ZITTO na mpango mchafu wa kukibomoa chama chetu vyote hivi vitakueleza nini bwana mdogo semtawa anafanya.
Wana Jf elimu yake sasa ana DIPLOMA ya DSJ ,pia sasa hivi ana rudia mitihani yake ya kidato cha nne,uwezo wake wa kufikiri mpaka hapa mnaweza kuupima,huu ni uelewa wangu mdogo juu ya huyu bwana mdogo,anatokea mkoa wa Tanga na mtaona mahusiano ya kijografia na bagamoyo.