Hii profession ya ajabu sana! Inakuaje mtu mwenye elimu ya darasa la saba anakuwa mwandishi wa habari, tena kwenye gazeti reputable kama Mwananchi? No wonder tunasoma **** kila uchao kutokana na waandishi wasio na upeo. Siamini kama mtu mwenye elimu ya darasa darasa la saba (au hata Form Four) ya miaka hii anaweza kufanya kazi nyeti kama ya uandishi wa habari.
Hivi chadema muislam ni Zito Peke yake? Jaribuni kuweka propaganda ambazo hata Great thinkers wakisoma waone kuna sense nawashauri mrudi tena kwenye taasisi yenu ya mafunzo mkajinoe zaidi maana kuna tetesi mmenunuliwa mitambo pia ya kuingilia mawasiliano ya watu na watalaam wa kufoji saini za watu, ila mjipange vizuri kwani kushindana na watu makini yahitaji kutumia akili sanamwacheni ZITTO hilo ni shoka halipo hapo CDM kwa ajili ya maslahi ya Chama bali ni kwa Watanzania wote, yeye na Shibuda wanayaona mengi likiwemo la UDINI na UKABILA sijaelewa kwanini mnamwogopa mpaka story za zamani mnaziweka humu, mbona zile za Malasya alipomfuata tajiri mkubwa wa huko kuhusu kukiinua kilimo cha michikichi huko Kigoma hamjakisema?
Barabara mbalimbali za Mkoa wa Kigoma na madaraja ambayo hayapo katika jimbo lake? mara ngapi ameibana Wizara ya Nishati na madini? umeme wa gasi, makaa ya mawe nk.
Ni Mbunge gani huko CDM ameshawahi kuwaombea wananchi wa jimbo lake misaada na akaupeleka huko mtoa Mada nimwagie Data hapo msikae mnakiogopa kivuli cha msomi. Ni tofauti kabisa na wale wanaotaka MH. SPIKA MWOONGOZOOOOO, SISI HATUMTAMBUI RAIS KAIBA KURA lakini posho wanapokea.
km ni ukabila na DINI yake mwacheni ZITTO hamtamuweza maana Watanzania tumemwona alivyokamaa kizalendo.
Mwisho hivi mmeshamuona katika mgogoro wa migomo ya maDr? Jibu mwenyewe
"Vox populi,Vox dei"
- Chadema na kivuli cha Zitto, kitawatesa mpaka mtakapokubali kwamba ndiye mwenye uwezo wa kukisaidia chama chenu kubadilika na kukubalika zaidi na Taifa,
- Chadema mnahitaji a big sacrifice kukinusuru chama kiweze kukubaika na taifa, punguzeni viongozi wa juu wa kabila moja, ingawa wenyewe in a private wanasema walikuwepo kwanza, ukweli ni kwamba mnahitaji kubadiika hawa kina Mtawa mtawaonea bure tatizo mnao wenyewe!!
Es!!
kijamaa kibishi,hadi kimemuajiri na mwana habari...................... tutakipiga chini mana kinazidi kutusumbua. toka kilivyozibwa mdomo kwa kupewa uenyekiti wa kamati kipindi kile basi kanatusumbua kweli. kameshanunuliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wana Jf nimemfahamua Ramadhani Semtawa kwa kipindi kisicho zidi miaka 5 sasa tangu nijiunge na kampuni ya Mwananchi,Semtawa ni kijiana ambae yuko tayari hata kupoteza utu wake na ubinadamu wake pale anaposimamia maslahi yake binafsi,kielimu wakati anajiunga hapa alikua ana elimu ya Darasa la saba kwani alikua amefeli kidato cha nne,kwahiyo amefanya jitihada za kujiendeleza kwa kupewa fedha na watu kama SAMWEL SITA, CHENGE,ZITTO KABWE na wengine.
Semtawa kwa sasa anafanya kazi kwa ukaribu sana na familia ya nyumba kubwa (ikulu) amekuwa akipewa vijisenti vya kujikimu kwa watu wanaotokana na familia hiyo kwa mpango wa kumsaidia bosi wake mwingine ambae ni waziri (membe) semtawa ana GAMBA la kujiita mzalendo kama tulivo waandishi wengi ambao tunafanya kwa kujiita wazelendo wakati sisi ni wajasiria mali.
Ukimsoma semtawa ndie ambae huandika story nyingi za ZITTO,SITA,MEMBE,CHENGE.na hivi karibuni amekuwa ni kijana ambae anafanya kazi kwa kusaidia mawazo ya BOSI WETU anaitwa MAKUNGA na Pia hapa ndani sisi humuita jembe la IKULU, ukitazama mahusiano ya IKULU,ZITTO na mpango mchafu wa kukibomoa chama chetu vyote hivi vitakueleza nini bwana mdogo semtawa anafanya.
Wana Jf elimu yake sasa ana DIPLOMA ya DSJ ,pia sasa hivi ana rudia mitihani yake ya kidato cha nne,uwezo wake wa kufikiri mpaka hapa mnaweza kuupima,huu ni uelewa wangu mdogo juu ya huyu bwana mdogo,anatokea mkoa wa Tanga na mtaona mahusiano ya kijografia na bagamoyo.
Yaani kwa jinsi unavyotaka kutudanganya humu JF ni dhahiri kabisa wewe ndiye STANDARD SEVEN. Ni gazeti gani ambalo mpka sasa linaajiri darasa la saba? Toa hapa pumba zako, acheni kumwandama ZITTO na ni lazima awabwage MBOWE na SLAA. Chenge, Membe, SITTA na ZITTO wapi na wapi bwana.
Duh namuamini na kumkubali sana Mh. Zitto, lakini kwa tuhuma hizi sina sababu ya kutokumwamini mwanzisha thread mpaka itakapokua proved wrong na wahusika.