nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
Mbona hiyo risiti inaonyesha zitto ndo kalipa hiyo pesa serikalini?
Duh sipendi kama kuna unafiki wowote zitto anafanya,
ila hapa mkuu umeonesha ifinyu wa fikra kabisa ndugu yangu.
Hapo serikali ime acknowledge kupokea kiasi cha fedha kutoka kwa zito, bahati mbaya sioni vema kwa imelipwa kama nn maana hzo ni general receipt so is multi-purpose.
Kwa taratibu za Serikali, risiti hizi anapewa mtu anayelipia gharama serikalini. Ni wazi hizo pesa zilitoka kwa ZZK kwenda Serikalini.
Naona lengo kuu la CDM linahama toka kuitoa CCM madarakani hadi kutoa wanachama wenye mitazamo tofauti na baadhi ya wabenzi.
Hahaha yaani anapewa posho anapewa na risiti? Hamjui hata malipo ya serikali yanafanyikaje? Mnatumika vibaya aisee
teh teh teh..... shule ni kitu muhimu sana
min nadhani hizo risiti za serikali ni wakati zitto anarejesha hizo posho
Nadhani wewe ni juha namba moja, na hujui unachokifanya. Hata kama ni chuki huwa haziwi hivyo. Hizo risiti ni kuonyesha kuwa Zitto hakuchukua posho hivyo ili irudishwe lazima ikatiwe risiti ya serikari. hata mshahara usipochukuliwa na mlipwaji lazima ukatiwe risiti ya serikali. kalagha bhaho.
Ni lini ulilipwa pesa ukasaini kwenye risiti kama sikupoteza watu!Mhhh sijaona sehemu ambayo Zitto kasign kuonyesha kwamba kapokea hiyo pesa cz listi inaweza kuandikwa bt pesa mtu usichukue ww leta ushahidi hapa unaonyesha sign ya zito kupokea hiyo pesa
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Zitto na Demokrasia
Zitto na Demokrasia
#1 Say NO to Posho!
with 25 comments
Last week I attended four meetings in Kigoma in my capacity (and as part of my job, which people elected me to do) as MP of Kigoma Kaskazini.
I attended meetings at the Constituency Development Fund Committee, District Council, Road Board and Regional Consultative (RCC). In all of these meetings participants are ‘entitled' to receive posho (sitting allowance).
This is how to say NO to posho and stand by it:
Say NO to Sitting Allowance In keeping with my stand I said NO to the posho. However, I signed for it and took it - in order then to go round the technicality of returning back the posho to the Government to show that my statement is not just rhetoric but action.
We have to walk the talk.
Above photo illustrates the receipt showing the payment I made back to the Government for the Road Board meeting.
Let's cut down on unnecessary expenditure and direct this money to our development budget to spur development and growth.
TUNAWEZA!
Please, do also read Policy Forum's report ‘Why we must abolish ‘sitting allowance'.
Risiti za Tar.07/10/2011 huu mwaka gani?