Zitto Kabwe: Say NO to Posho

A diaspora initiative with no posho, participants paying own costs. Certainly, from the taxpayer's perspective, the Global Irish Economic Forum, which met in Dublin at the weekend can hardly be faulted. It is a cost-effective initiative. Those who attended the conference paid their own travel and hotel expenses and even though twice as many participants came as last time, the cost of staging the event – about €300,000 – will be less than in 2009. Global Irish homecoming - The Irish Times - Mon, Oct 10, 2011. This shows that initiative with no posho can be done.
 
Alaaniwe asiekiunga mkono kitendo hiki cha kukataa sitting allowance,na kwa kutokukataa sitting allowance ni ubaguzi wa wazi na kuionyesha jamii ya kitanzania inayoishi chini ya dola moja,na wasioweza kugharamia matibabu hata ya buku tano.
Na ni wanafiki wale wote wanaoangalia kuwa kitendo hiki ni cha kisiasa zaidi pasipo kufikiri ya kwamba ni kitendo ambacho kwayo kikiungwa mkono kitawaza kuokoa maisha ya watanzania wengi walala hoi.
 
Rudisha posho za ubunge, if you are for real, sio vi-elfu hamshini vya vikao vya development fund committee!

CHADEMA ni kama vituko vya mahoka, wanadai wana sera ya kupinga posho halafu wakipewa posho wanakula!
 
Big Up Zitto, wapo wapi wanapinduzi wengine wa Chadema? Huu ni mfano mzuri wa kuigwa na wabunge wengine kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kwa serikali tegemezi kama hii.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Unafiki mwingine ni kero sana ndiyo maana unafika wakati nakosa imani na wanasiasa.
 
Hivi haya marejesho ya posho huwa yanapelekwa wapi na kwa matumizi. Uaikute mtu unarudisha halafu zinaliwa na wachache juu kwa juu.
..Thats my concern here,
hivi hizi Posho zinazorudishwa huwa zinarudi katika mikono halali ya Serikali ili zitumike katika kazi za maendeleo ya Wananchi??!!, au zikirudi huko zinakorudishwa Wahusika wanakaa mguu upande mguu sawa na Zinagawiwa tena fasta kwa wao miongoni mwao kama hawana akili nzuri.
Mungu ibariki Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Rudisha posho za ubunge, if you are for real, sio vi-elfu hamshini vya vikao vya development fund committee!

CHADEMA ni kama vituko vya mahoka, wanadai wana sera ya kupinga posho halafu wakipewa posho wanakula!

Watanzania hawa hahaha ahahahaha ahahahah!!!!!!!!!
 
Mh Zitto,
Tafadhali nisaidie mimi nisiye mwanachama wa chama chochote cha SIASA nchi hii kodi ninayokatwa kwenye mshahara, vitu na huduma mbalimbali ninazonunua isiende kwenye vyama hivi kama RUZUKU. Hili linafanyika kila mwezi na ni mabilioni ya pesa za WATANZANIA tusio na vyama. Hivi viposho unavyorudisha ni cha mtoto.
 
Kuna jambo linanichekesha hapa, ok say Zitto ni mnafiki au sio mnafiki je alichokifanya "is it a right thing or not"? When and how isl someone supposed to do a right thing bila kuonekana mnafiki? Kuna watu wananishangaza hapa na wako in records wakiwa msitari wa mbele kupongeza Pinda alivyokataa shangingi jipya ambalo hata hiyo hakuamuru lirudishwe. Hawakuzungumzia lolote kuhusu unafiki.

To be frank Tanzania imesogezwa kwenye kona na hili dubwana CCM kiasi kwamba hata thinking ya wananchi siku zote kama alivyosema Mkumbo ni kufikiria kila jema basi lina ajenda nyuma yake. Kutaka sifa, unafiki, kujipendekeza etc.

All in all Zitto anastahili pongezi na historia inamuandika kuwa mmojawapo wa viongozi wachache waliokuwa tayari somehow to-walk the talk. Bravo bro!
 
Mkuu twende polepole, bajeti ya posho mwaka huu wa bajeti ni shillingi ngapi? Bajeti ya ruzuku za vyama vya siasa (excluding CCM just to make my point) mwaka huu ni shillingi ngapi? Je hizo posho hazitokani na hiyo PAYE unayolipa kila mwezi? Hivi ule usemi wa something is better than nothing ulishapoteza maana siku hizi?
 
Sina figures za hizo bajeti. Tatizo langu ni kuwa kodi ninazokatwa zinaenda nisikotaka wala nisiko na maslahi wala manufaa siyaoni. Afadhali hata ya hizo posho. Nyingi za posho hizi watumishi wanajitengea wenyewe kupunguza makali ya maisha kwa kuwa mishahara ya nchi hii unaijua Nyambala!
 
..Thats my concern here,
hivi hizi Posho zinazorudishwa huwa zinarudi katika mikono halali ya Serikali ili zitumike katika kazi za maendeleo ya Wananchi??!!, au zikirudi huko zinakorudishwa Wahusika wanakaa mguu upande mguu sawa na Zinagawiwa tena fasta kwa wao miongoni mwao kama hawana akili nzuri.
Mungu ibariki Tanzania
CAG - Huwa hatufatilii ripoti zake, watanzania hatuko concerned sana na fedha zetu. Ila tukiamua, ni rahisi sana kuwabana. Kwa mfano, government receipts zote zingekuwa electronic (with a stamp on it).Haya mambo ya vikaratasi na carbon copy yana complicate auditing.
 
watu wanaweza wakasema zitto anakataa posho sababu kashajilundikia hela kwa miaka mitano iliyopita,kashainvest na mambo mengine kama hayo,..lakini si bora uwaachie wenye njaa baada ya kushiba kidogo kwa miaka mitano kuliko kuendelea kula wakati umevimbiwa kwa miaka 50...big up zitto kwa uzalendo lakini hiyo haimaanishi wakina halima mdee na wengine sio wazalendo....
 
CAG - Huwa hatufatilii ripoti zake, watanzania hatuko concerned sana na fedha zetu. Ila tukiamua, ni rahisi sana kuwabana. Kwa mfano, government receipts zote zingekuwa electronic (with a stamp on it).Haya mambo ya vikaratasi na carbon copy yana complicate auditing.
huwa wanazideposit kwenye account ya hazina na kukatiwa receipt..hicho ni kitu muhimu kwenye ukaguzi,..swala ni muda gani wanakaa nazo wahasibu kabla hawajazideposit???sometimes wanazweka kwenye fixed deposit na kupata riba za maana..public ifnance act inaelekeza zipelekwe benki siku hiyohiyo or earlist possible day??na huko hazina zinakorudishwa je???system hii inatisha....
 
Kwanini zisirudi halmashauri au ofisi ya bunge? Kwa sababu bajeti ikishapitishwa fedha inabidi zibaki zilikoelekezwa, na mwisho wa mwaka wa bajeti ndio ingejulikana wamesave kiasi gani.
Nadhani system yetu ipo too centralized.
 
jamani waziri wenu anavyojiita mtoto wa mkulima si alisema muwe mnazichukua alafu mnawagawia watu ambao wanakua nje wanawasubiri mtoke kwenyemikutano?waziri alitoa maelekezo mazuri tu kua muache unafiki na hizo hela ndogo kwani hata nyie wapinzani mnazimezea mate.
Thus umesema in avoing technicalities umesain na kuzirudisha serikalini.
sasa hapo kwenye risiti ya serikali naona umelipia sitting allowance road board mie nadhani ungeaandikiwa kama waziri alivyopendekeza may be malipo kwa waomba posho
ZITTO yuko sawa,huwezi pokea cash kwa maandishi, utoe kwa watu bila maandishi kama anavyosema pinda.Lengo hapo ni kushinikiza serikali isitoe posho,sio posho iwafikie wananchi.Dawa ni pokea kwa maandishi then rudisha kwa maandishi,hapo ndipo serikali itaamini wabunge hawahitaji posho na badala yake serikali yenyewe itazitumia kwa maendeleo endelevu kwa jamii,na si kujaza watu pesa mifukoni,kweli pinda umepinda
 
Kuna jambo linanichekesha hapa, ok say Zitto ni mnafiki au sio mnafiki je alichokifanya "is it a right thing or not"? When and how isl someone supposed to do a right thing bila kuonekana mnafiki? Kuna watu wananishangaza hapa na wako in records wakiwa msitari wa mbele kupongeza Pinda alivyokataa shangingi jipya ambalo hata hiyo hakuamuru lirudishwe. Hawakuzungumzia lolote kuhusu unafiki.

To be frank Tanzania imesogezwa kwenye kona na hili dubwana CCM kiasi kwamba hata thinking ya wananchi siku zote kama alivyosema Mkumbo ni kufikiria kila jema basi lina ajenda nyuma yake. Kutaka sifa, unafiki, kujipendekeza etc.

All in all Zitto anastahili pongezi na historia inamuandika kuwa mmojawapo wa viongozi wachache waliokuwa tayari somehow to-walk the talk. Bravo bro!
Nimepitia comments zote kwenye hii thread na nimegundua wengi wanajua anachokifanya Zitto ni kitendo kinachostahili pongezi, kuna baadhi wanakipongeza lakini wapo pia wale wenye chuki tu na huyu bwana kuliko kuuangalia ukweli.... wanaishia kutumia maneno kama "cheap popularity" na mengine wanayofikiria wao yanafaa kuelekeza chuki zao. Lakini ukweli unabaki pale pale...
 
Nampenda Zitto, lakini huu ni unafiki wa hali ya juuu.

Mbona posho za kushiriki vikao vya TANAPA hujarudisha? ntaweka hapa unapokea kiasi gani.

Mbona posho za safari za nje hukurudisha wakati ulilipwa kwa dola? Kwenda Sudan kusini na Rwanda ulilipwa zaidi ya dola 13,000 mbona husemi umerudisha hizo hapa?

Mnaompongeza jifikirisheni.
 
Hivi siku hizi Reginal Administrative Secretary anapokea fedha? mbona mhuri ni wa kwake ?ama hakuna mhasibu wa Mkoa huko?ama ni yaleyale ya Kinana?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom