Zitto Kabwe: Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge

Alishawaambia wabunge kuwa akisikia tu mambo ya impeachment anavunja bunge fasta warudi kwenye uchaguzi.
Dadeki...
Kitu ambacho sijakielewa.. Rais na bunge nani anauweZo wa kumuwahi mwenzake?
Kwani yeye atapita
 
Hili bunge linachekesha! Ni bunge kibogoyo ambalo lilipinga kuwekewa meno kupitia kwenye Katiba mpya. Mimi naona hatua anazochukuwa Rais ni sawa tu kwani nchi hii tuna mhimili mmoja tu hii mingine inaongeza gharama za bure tu kwa nchi. Inatakiwa sasa Rais apitishe panga la idadi ya wabunge kama alivyofanya kwa NEC ya CCM.
 
Alishawaambia wabunge kuwa akisikia tu mambo ya impeachment anavunja bunge fasta warudi kwenye uchaguzi.
Dadeki...
Kitu ambacho sijakielewa.. Rais na bunge nani anauweZo wa kumuwahi mwenzake?
Akithubutu kuvunja bunge itakula kwake,

Kwanza wabunge wengi wa ccm watahama chama, wataenda upinzani na watashinda.

Bunge litakuwa na wabunge wengi wa upinzani, kitu ambacho kitamuwia vigumu kutawala(itaundwa serikali ya mpito), ambapo itakuwa rahisi sana kumuondoa jamaa pale juu.

Note; Mkulu atumie ushawshi na nguvu kwa wabunge wake ila asijaribu kabisaaa kuwaza hiyo kitu, atamalza mchezo mapema asubuhi
 
Back
Top Bottom