Zitto Kabwe ni mtu tatu ndani ya Traki moja

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,913
Reaction score
133,926

Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti.

Sasa huyo ndio Zitto Kabwe, katika track moja ya Uchaguzi, yeye pekeyake amechana kama watu wawili tofauti. Verse ya kwanza analalamikia matukio mabaya kabisa ya uchaguzi, kisha anaawaambia wanachama "Kwa mwendo huu kuna haja ya kushiriki uchaguzi"

Kwenye verse ya mwisho anashangaa Wanaogomea uchaguzi.
 
View attachment 3400342

Muacheni zitto aendeshe chama chake kma anavyoona inafaa. ACT si Chadema. Unaweza kukuta lengo la ACT na kuanzishwa kwake ni tofauti kabisa na unachowaza wewe
 
Mjanja janja huyu, hili ni PANDIKIZI, mchumia tumbo.
 
Kiujumla tuu Zitto kachagua upande ulio sahihi , kama watanzania wenyewe ndo hawa Mzee unahtaji uwe na roho ngumu kuwapigania
 
Huyo hana tofauti na mganga wa kienyeji, ni mchonganishi tu na unafki umemjaa, tamaa ya hela "msaliti"... . Haeleweki analialia kwasababu Gani...atulie ccm wampe thamani yake alafu atulie atukane wapinzani wenzake kwa kuwa na misimano kamili
 
Muacheni zitto aendeshe chama chake kma anavyoona inafaa. ACT si Chadema. Unaweza kukuta lengo la ACT na kuanzishwa kwake ni tofauti kabisa na unachowaza wewe
ni kweli hata Vyama vingine vinaendesha siasa kwa namna yao ya kipekee...Hakuna muunganiko hapo ndo maana "No reforms no election" wanayo CHADEMA tu..hapo unakuja kuona CCM itatawala na kutawala.
 
Wananchi bado tumelala siku tukiamka hatutahitaji kuambiwa
 
Zitto na Mbowe ni wanasiasa ambao wanafanya biashara kubwa yaani wanacheza timu mbili double Agent.

Kwahiyo JPM aligundua hilo akawapiga pini wote.

Kwahiyo kwa sasa lazima waendelee walipoishia

..Jpm alikuwa muuaji tu.

..Ben Saanane aliuwawa kwasababu gani?

..kama Jpm alichukia wapigadili kwenye siasa basi angewauwa hao ni sio watu wasiokuwa na hatia.
 
View attachment 3400342
Nani anamkumbuka Stopa? Stopa The ryme maker, katika track moja alikuwa na uwezo wa kuchana style tatu peke yake. Usipokuwa makini utadhani ni watu watatu tofauti.

Sasa huyo ndio Zitto Kabwe, katika track moja ya Uchaguzi, yeye pekeyake amechana kama watu wawili tofauti. Verse ya kwanza analalamikia matukio mabaya kabisa ya uchaguzi, kisha anaawaambia wanachama "Kwa mwendo huu kuna haja ya kushiriki uchaguzi"

Kwenye verse ya mwisho anashangaa Wanaogomea uchaguzi.
Huyu mkongomani ni kama sigara nyota
 
Dalali katika ubora wake
 
Msaliti mchafu kuliko wote ni X+ZZK I hate this creature@ Watu wamekufa, watu wametoweshwa, watu wamelawitiwa HILI guberi bado linanyemelea nafasi!!
Nina wasi wasi hata Ben saa8 huyu anafahamu kilichomla!! Kisa!! alianza kumwanika kuwa msaliti!!
 
Back
Top Bottom