Zitto Kabwe: Ni dikteta gani duniani aliwahi kufuta Bar Association?!!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,002
114,341
Baada ya Dr.Mwakyembe waziri wa sheria kutishia nyau kufuta TLS wanasiasa na watalaam mbalimbali wamezidi kumzonga na kutilia mashaka weledi wake katika sheria

Katika ukurasa wake wa twitter Mbunge Zitto Kabwe amehoji na kuahidi kufanya utafiti kuona kama kuna dikteta yeyote hapa duniani aliwahi kufuta Bar Association.



My Take
Mwakyembe tunza heshima kidogo uliyobaki nayo...
 
Hawa kina Harisson (Maana kuwaita Dr ni kuwapa heshima wasiyosadifiana nayo) wanataka tuamini kuwa hata ile report ya Richmond tatizo lilikuwa Uwaziri Mkuu.

Maana kama yeye ndio msoma report,na ndio waziri wa Katiba na Sheria,ambaye Mahakama "zipo chini yake",anashindwa nini kumfikisha huyo "fisadi" Eddo mahakamani?
 
Hawa kina Harisson (Maana kuwaita Dr ni kuwapa heshima wasiyosadifiana nayo) wanataka tuamini kuwa hata ile report ya Richmond tatizo lilikuwa Uwaziri Mkuu.

Maana kama yeye ndio msoma report,na ndio waziri wa Katiba na Sheria,ambaye Mahakama zipo chini yake,anashindwa nini kumfikisha huyo "fisadi" Eddo mahakamani?
Hakuna anaeweza kusimama na kuthibitisha huo ufisadi wa Eddo....Na kama ungekuwepo wangeshamficha siku mingi.. So the man (Eddo) is innocent until proven guilty in a court of law....
 
Aliwaahidi wananchi maendeleo na mabadiliko, toka ameingia hakuna la maana kazi pekee anayofanya ni kulazimisha kukandamiza upinzani na kuwashughulikia wanaompinga, kasahau kuwa Muda haurudi nyuma, utawanyamazisha watu mdomoni Lakini sio mioyoni
 
Sasa mpaka shida ni nini hasa,kama mwanafunzi yuko bora kuliko mwalimu??Kuna shida mahali
Mwakyembe ni mzuri sana kichwani, shida kubwa ni mfumo wa nchi unamfanya kusubiri maelekezo kutoka juu badala ya kutumia elimu yake, nchi kama yetu huhitaji kuwa na elimu kubwa sana hata F4 inatosha sana muda mwingi unafanya kwa kufuata maelekezo ya mkuu wa kaya na kumfurahisha yeye anachotaka.
 
Back
Top Bottom