magamba mnaongea kama vile mnauwezo wa kungia kwenye kikao cha halmashauri kuu ya cdm na kuteua jina la zzk kuwa mgombea wa urais hapo 2015 huyp kijana mnataka mumpoteze kama akina masumbuko lamwai.
Zitto kabwe mwanaume wa kweli,mwanasiasa jasiri amewafuata huko huko chumbani kwenu..kama na nyie wajanja nendeni kigoma
usishangae kuona m4c inaishia iringa..hakua hata tone litakalo gusa kigoma
Magamba mnaongea kama vile mnauwezo wa kungia kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CDM na kuteua jina la ZZK kuwa mgombea wa Urais hapo 2015 huyp kijana mnataka mumpoteze kama akina Masumbuko Lamwai.
Salama mkuu,Natokea shinyanga muda huu,,Kuweka mabo sawa kwenye familia ya marehemu SHELEMBI kusuruhisha swala la pesa za msiba alizo kula Dr.slaa
Zitto mashine nyingine kabisaaaaaaa ogopa.
huu ukabila sijui utawasaidia nini nyie.Utumwa wa mwarabu kigoma uliwaachia dhambi mbaya.Cycle ya umasikini itawarudia despite huu ujinga.
sito uliza umri! Wewe kweli kwa maneno haya una huwezo wa kuwa msuluhishi.
Tuwe wakweli huwezi kufanya lolote zaidi ya kupika habari za uchochezi na majungu!
wanaoleta aukanda siku zao zinahesabika ndani ya chama,,,chadema huru hiyooo inakuja.wachagga piga chini..watanzania watachukua chama chao.
Zitto yupo karatu muda huu anafayanya kutano jikoni kwa dr.slaa...kama slaa anaweza aende kigoma
Naungana na zzk katika idea ya kujenga chama vijijini, LAKINI karatu chama tayari kimejengwa siku nyingi(labda kama amekwenda kubomoa)
Namshauri zzk hayo mafuta ya kuendea karatu angetumia kujenga chama kule dodoma vijini na muleba.
propaganda zenu na cuf zimegonga mwamba sasa......naona umeshakimbia cuf
Lets us waiting..................!
Wajinga hao wamezoea kuwekana wakaskazini sasa safari hii ni zamu ya kigoma.
Watake wasitake.
Waulize mbowe keshagombea akashindwa,slaa nae pia akachemka,
Sasa kinachowasumbua wasimpe zitto nae atupe karata zake ni nini kama sio dhambi ya ukanda na udini?
Mkuu acha jazba, nenda kamsikilize ukipewa nafasi muulize yote yaliyo moyoni mwako. Jamaa anamikakati mizuri na anachofanya kina harufu nzuri.Mnafiki mkubwa huyo kazi kila kukicha kuropoka Urais ili CDM wapoteze lengo.Inabidi kila anakoenda ni lazima Kitengo cha intelejensia CDM kipeleke watu kumfuatilia.
Kwani uongo??dr.slaa na wenzake wamehujumu fedha za msiba wa shelembi mzigo wote ameubeba shibuda anasomesha watoto,,anatunza familia
dr.slaa hafai kuwa kiongozi anamambo ya chinichini mengi ambayo ni hatari kwa taifa
najua nimekukeketa sana pole sana dada yangu...ndio utamaduni wetu wa masaaiwewe akili umeziweka pembeni....... Naona unaongea pumba tu humu, dr slaa kwani ni chama gani? Ashindwe kwenda yeye si mroo wa madaraka ni mroo wa mabadilliko
mtu unayempigia zogo hana hata ridhaa ya chama