Uamusho muna mambo yenu, CHADEMA hakuna ugomvi kama unavyodhaniHahahaa!molemo kuna siku hamjamfatilia?
Eti intelijensia?mna inteligensia ?
Hahahaa!wadanganyeni hao hao!
Mshumbusi au?
Nenda hata wewe mbona wewe ni mnafiki sana na kuwadi wa uzandiki si uwahi uende.
Sasa bado subili picha jioni utakimbia wewe.
nakuunga mkono mkuu kwa kauli yako hiiacheni chuki binafsi wana JF, kubalini kuwa Zitto ana mchango mkubwa ndani ya CDM na nadhani ni yeye na Dr. Slaa ndio wanaoongoza kuifanya CDM leo iwe tishio. Nani atabisha.? Zitto ameleta hamasa kubwa kwa vijana kupenda CDM kuliko mwingine yeyote. Kama yeye ni pandikizi la CCM, kulikuwa na haja gani aijenge chadema wakati ilikuwa haijulikani.? Mapandikizi ni wale wanaodandia chama kikiwa kimeshakomaa. Zitto kajiunga na chama wakati ana miaka 16 na chama kilikuwa hakijulikani, na amekua nacho na ameshiriki kukijenga. Ni mpumbavu gani duniani apoteze muda wake kujenga nyumba halafu aanze kuibomoa? Mkubali msikubali, zitto ni jembe la chadema na hakuna wa kumtoa sababu hana hatia yeyote na ndio atakibeba chama 2015. Acheni kuwa na wivu na ubaguzi usio na msingi.
Duu rais zitto ni noma kaamua kumfuata slaa mpaka kwao.kweli kamanda yuko kazini sasa hio ni M4C au leka dutigite?
nakuunga mkono mkuu kwa kauli yako hii
zaidi tuanapaswa kusimamia kile ambacho mtu anakisema na siyo kutendea kazi hisia zetu ambazo % kumbwa huwa si za kweli
Zitto amewashika pabaya 2015,kama ni maumivu ya tumbo basi ni la kuhara lazima mkajisaidie ndio mpate nafuu mkibana yamejaa kwenye gwanda.
Sijui wanao mshambulia wana maana ganimsijali katiba mpya itakuja na nafasi kibao za uraisi ,makamu wa kwanza wa rais ambayo itakuwa ni ya rais wa zanzibar,makamu wa pili wa rais itachukuliwa na rais wa tanganyika ,na nafasi ya rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ,waziri mkuu na mawaziri watakuwa hawatokani na wabunge ,sasa kwa nafasi zote hizo .mnamshambulia Zito kwanini ,ni vema sasa basi tuwache kuamua mambo kwa hisia,
MH:NAIBU KATIBU MKUU NA MBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE AMEMALIZA MKUTANO WAKE ALIOUFANYA HUKO KARATU KATA YA ENDAMARARIEK AMBAYO INAPATIKANA MAENEO YA VIJINI.
MKUTANO WAKE ULIKUWA MKUBWA SANA,UMATI WA WATU ULIKUWA NI WAHALI YA JUU SANA TOFAUTI NA MTU YEYOTE AMBAYE ANGEFIKIRIA UPATIKANAJI WATU.
ZILIKUWA NI SHANGWE NA KELELE ZA PEOPLES POWER HUKU WANANCHI WALIOWENGI WAKITAMANI KUMSHIKA AU KUMGUSA MBUNGE WAO(CHADEMA) MH:ZITTO KABWE.
KATIKA MKUTANO ULE MH:KABWE AKUTANA NA CHANGAMOTO KUBWA SANA YA TATIZO LA MAJI KWA WANACHI WA KATA ILE NA MAENEO YA JIRANI,PIA HUDUMA ZA AFYA NI TATIZO KUBWA.
AKIHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WALIOJITOKEZA KWENYE MKUTANO HUO,MH ZITTO AMEELEZA MAMBO MBALIMBALI YANAYOLIHUSU TAIFA LETU,AMEZUNGUMZIA SWALA LA UFISADI,AMEZUNGUMZIA NAFASI YA HALMASHAURI NA MAENDELEO YA WILAYA YA KARATU,AMEZUNGUMZIA NAFASI YA KILA MWANAKARATU KUIUNGA MKONO CHADEMA ILI KUPATA UKOMBOZI WA KWELI KATIKA NCHI HII
SEHEMU KUBWA YA WANANCHI WA KARATU WALIKUWA NA OMBI KWA MH:ZITTO LA KWENDA KUWAFIKISHIA MATATIZO YAO SEHEMU HUSIKA HASA JUU YA UPATIKANAJI WA MAJI.
KESHO TAR:30/09/2012 MH;ZITTO ATAFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA KARATU MJINI IKIWA NI MWENDELEZO WA MIKUTANO YAKE YA KUJENGA NA KUIMARISHA CHAMA NDANI YA NCHI.
HIVYO WANACHADEMA,WANANCHI,WANAKARATU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA KWA WINGI SANA KWENYE MKUTANO HUO,KWANI MBUNGE WENU WA CHADEMA TAKUWA NA NAFASI KUBWA YA KUONGEA NA WANANCHI WAKE JUU YA MUSTAKABARI WA TAIFA LETU.
NAWASILISHA
(karatu)
Kwahiyo alikwenda kusikiliza kero za wananchi? si wana mbunge wao ambaye ni moja ya jukumu lake kusikiliza kero na kuwakilisha?
Tunaomba alichozungumza na nukuu kabisa ili tuone mantiki ya safari yake.
wewe shamba boi na tarishi wa Dr. Slaa tuliza akili hiyo ndio demokrasia; hata wewe kama unajiweza tangaza nia yako ya kugombea uraisi; kumbe na Chadema mna intelijensia asante sana kutujuza; niliwahi kuambiwa intelijensia yenu inafanyakazi kama mganga wa kienyeji; kuwekeni makini msije makijita vidole vya macho.
Chama
Gongo la mboto DSM
Hahahaa!molemo kuna siku hamjamfatilia?
Eti intelijensia?mna inteligensia ?
Hahahaa!wadanganyeni hao hao!
Mshumbusi au?
Nenda hata wewe mbona wewe ni mnafiki sana na kuwadi wa uzandiki si uwahi uende.
Sasa bado subili picha jioni utakimbia wewe.
Mimi nampenda zitto sana hasa kwenye siasa zake,Lakini kwa matusi haya ndhani umeharibu kila kitu.Zitto kweli ni Kiongozi Bora ndani ya chadema.
Hivi Cheo cha uraisi chadema ni haki ya kudumu ya Mchungaji Slaa pekee au ni haki ya kila mwanachadema ??