Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?
Ni kuuliza tu Makamanda.
unajua zitto kazaliwa lini?
Zitto Kabwe MWAKA 1975, mwanafunzi wa
mwaka wa kwanza wa Chuo
Kikuu cha Haile Selasie (sasa
Chuo Kikuu cha Addis Ababa),
Legese Zenawi, akiwa na umri
wa miaka 19 tu, aliacha masomo yake na kujiunga na
kikundi cha ukombozi cha
watu wa Tigray.
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?
Ni kuuliza tu Makamanda.
Ni kweli kwamba alimpigia kampeni JK badala ya Slaa ama ni uzushi tu?
mkuu umenena,dogo yule hafai na mbinafs,na mdini sana.Zitto ni disaster na ninashangaa watu ambao mnatoa povu kumtetea huyu gaidi wa ukombozi, huyo jamaa ni puppet leader, mfatilieni kwa makini mambo yake ndio mtagundua, huyu jamaa kama aliweza kumpigia kampeni Jk badala ya Dr.slaa 2010, je anashindwa nn kukisaliti chama? THINK BIG magreat thinkers huyu jamaaa hafai na sisi hatutacha kumchana live hata siku 1.
anajiona yeye ni bora kuliko chama.Mimi huwa sielewi kwanini wana-CDM wengi wa JF hawampendi Zitto! Kwani hizo safari zake huwa hazipati baraka toka kwa uongozi wa CDM? Hivi amewakosea nini huyu bwana mdogo?
Sijui waTg tukoje! Kila kitu kurahisisha! Ooh siasa sio vita siasa sio vita! Umesha ona kunguru wanaruka pamoja na njiwa?
amekutuma uje umtete,basi atakuwa mnafki kidoma ampigie kampeni dhaifu na yeye mwenyewe,ubungo ampigie kampeni mnyika.Alijipigia kampeni mwenyewe maana alikua na hali mbaya sana dhidi ya mgombea wa cuf,na pia nilimuona siku moja akimpigia kampeni mnyika pale ubungo,hilo naweza kulishuhudia.
kweli mkuu angeongozana hata na machari mkuu,hata yule si upinzani.Na kama ni kuongozana na MPINZANI,kwa nini iwe ni Zitto tu!? Hakuna wapinzani wengine? Kumbuka hata Sudan kusini,JK alienda naye huyu huyu!