KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
WAKUU!
Hapa hoja yangu sio vita au uadui. Nimejiuliza kwamba, iweje aweze kuitikia wito wa Magogoni kwa haraka na bila mawasiliano kukatika na kuungana na Mkulu, lakini kwenye la M4C mawasiliano yalikatika na hatukumuona kabisa licha ya kuahidi kuhudhuria kama tulivyo taarifiwa?
sio zitto tu kuna wale ndugu zetu wengine wako huko cdm
Huyu jamaa simpendi kama nini sijui. Kajamaa kana mambo ya kishamba kinoma sana haka. Halafu dizaini kama ushamba na ulughalugha bado haujamtoka. Kana tabia za kujikweza na kujiona kako bora kuliko wenzako. Mi natamani hata katimuliwe tu Chadema kama vipi.
Huyu jamaa simpendi kama nini sijui. Kajamaa kana mambo ya kishamba kinoma sana haka. Halafu dizaini kama ushamba na ulughalugha bado haujamtoka. Kana tabia za kujikweza na kujiona kako bora kuliko wenzako. Mi natamani hata katimuliwe tu Chadema kama vipi.
Hivi kwanini zitto hashiriki m4c? Yeye namuona yupo kivyake tu..
Atatumia njia kama ya JK huko chadema kwenye urais.
Mkuu KIM KARDASH karibu tena. Vipi ulikuwa Segerea ya JF manake ni muda! Hivi Zitto yupo kwenye ujumbe wa Rais au ni binafsi. Kama ni ujumbe wa Rais basi huenda anawakilisha bunge au vyama vya ulinzani. Hivyo basi ana barakazitto ni mwanasiasa makini ambae chadema na watu wake wamekua wakimtumia kama condom,matumizi yake yakiisha wanamtupa na kumtapika,leo chadema wameshajisahau kwamba ni hivi majuzi tu walikua wakijivunia zitto alipokua anacheza mchezo wake wa kisiasa kujaribu kuwaaminisha illiterate wengi waliojaa chadema kwamba eti anasaka sahihi 70 ambazo akizipata zitasaidia kumng'oa PM PINDA madarakani,tukawakumbukumbusha illiterate wa chadema kwamba huo ni ubunifu wa mchezo wa kisiasa wa zitto mwenyewe wala sio chadema,kutokana na upeo mdogo wa kuchanganua mambo wa watu wa chedema wakawa wanang'angania na kusema zitto ni wao hivyo hoja yake hiyo pia yao
Si alishiriki huko ughaibuni? Zitto ni miongoni mwa wanasiasa wajanja sana na wanaoamini katika maslahi ya nchi na wala si maslahi ya mtu ama chama. Alishasema kwake nchi kwanza chama baadaye.
zitto zuberi angeitwa yohana au john haya yote yasingemfika.hana usaliti wowote,kinachomsaliti ni hilo jina tu.
WAKUU!
Namshangaa huyu Mh. Zitto Z. Kabwe. Wakati wa mkutano wa M4C Morogoro tuliambiwa angehudhuria. Baadae mawasiliano kati yake na Makamanda waliokuwa kwenye harakati za ukombozi yakapotea. Leo hii katia timu Addis na Mkulu.
Makamanda, hii ime kaa je? wakati Makamanda wengine wakiendeleza harakati za kuwakomboa waTanzania huyu Mh. mbona yupo beneti na Magogoni sana?
Ni kuuliza tu Makamanda.
Nipo kaka sema kuna baadhi ya mods waoga wale wasioipenda principle yangu ile ya kusema yale ambayo yapo ila watu hawapendi kuyasikia kwa maslahi yao waliamua kunikata "fyuzi" ili kuniziba mdomo wakiamini wanaweza kunicontrol...baada ya kutoka nimekua nikijikita zaidi kwenye jukwa la michezo ili kuvuta pumzi za kuja kwenye kazi ngumu ya kucheza ngoma ya siasa,sasa nimerudi kwa kishindo na nguvu mpya,pamoja sana kamanda.Mkuu KIM KARDASH karibu tena. Vipi ulikuwa Segerea ya JF manake ni muda! Hivi Zitto yupo kwenye ujumbe wa Rais au ni binafsi. Kama ni ujumbe wa Rais basi huenda anawakilisha bunge au vyama vya ulinzani. Hivyo basi ana baraka
Wabongo mnamajungu. Mbona hakuna tatizo.