Mkuu siasa sio chuki, nadhani Zito amepata baraka zote toka kwa Viongozi wake. Suala la Zito kutoka nje na JK, linamjenga sana kidiplomasia na kuelewa siasa za nje zinavyoendeshwa. CDM wanahitaji sana ujuzi huu, na wapo kufuatilia kila kitu kwa karibu mno.
On other hand; hiyo yaweza kuwa janja ya serikali ya CCM kupandikiza hisia za chuki, kutoaminiana na makundi ndani ya CDM. Technique hii ni mzuri kuvuruga nguvu za CDM ambazo zinawakosesha usingizi CCM
Only solutions now for CDM are:
1) To keep our eyes veryvery close to Zito. Na ikigundulika ni double agent, atoswe mara moja.
2) Japo ni too late, iwekwe protocal ndani ya CDM, kama kuna nafasi kama hizo, CDM ndio watoe Jina la atakayesafiri i according na maudhui ya safari yenyewe.