Aibu ipi? Ujuaji upi hapo? Kwani unadhani Zito hajui nini kimaendelea? Zito anajua ukweli japokuwa kaamua kupitia njia hiyo apate kuwafungua macho watanzania wanaopenda Usiri usio na tija kwa TaifaZitto katika ujuaji wake na mikurupuko, du! AIBU
Rais anatafutwa na wanaomchukia kuliko wanaompenda[emoji23][emoji23][emoji23].
Kama dini yao ni bora Zitto Kabwe Muislamu anawapingaje waislamu wenzie Kassim Majaliwa aliyetoa tamko msikitini na kumpinga pia muislamu mwenzie Samia Suhuhu Hassan?Waislam wengi ndio tabia zao wanajionaga dini yao ndio dini bora hapa duniani.
Watanzania wote wenye Akili timamu kabsa wanataka uwazi juu ya Afya ya magufuli, lakini watanzania wanufaika wa utawala wake hawataki uwazi kwani wanahofia kukutana na hasira za wote walioathirika na uonevu wakeZzb umeongea point tatizo liko kwa wadanganyika waliozea kunywa chai ya moto kwa mrija. Ni maumivu.
Angepotea wa znz wangejuaNyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
Makamo wa kwanza anamjua mwinyi tuTena anafaida ya kuongea na Makamu wa kwanza wa Rais, au hata yeye hajui alipo mwenzake?
Usiri wa utawala huu ni Usiri usio na tija, kufanya Siri juu ya afya ya Rais ni Usiri wa ajabu huoBahati mbaya sana, suala hili limechukua sura ya kishabiki zaidi kuliko maslahi ya kitaifa. Hoja za Mhe. Zitto zina mantiki sana lakini tunajua hazitajibiwa kwani itakuwa sawa na kumpa ujiko.
Tumechagua kuwa taifa la usiri...usiri....usiri. Sijui tutafka wapi na mwendo huu, lakini kwa jumla hatuna hatma njema.
Kwanini usiweke kifungu cha katiba kilichovunjwa?Tatizo Ni kama umezoea kuivunja hata ikivunjika haitokuwa ishu kwako
Kuna mgonjwa aliwahi kusema mgonjwa mwenzie sijui kama atafika kesho alikuwa anakoroma Hana fahamu, Yule aliekuwa mzima alikufa usiku ule ule,hii story niliwahi kuishare wakati Lowassa anaambiwa kajinyea. Kila MTU ana siku yake ya kufa tuwe waangalifu Kwa kauli zetu na matendo. Ndio maana leo Lissu anadunda nae anapoza machungu maana si mnafiki.Namchungulia Mzee Lowasa anavyo tutazama tulivyo kuwa tunavyo mwambia Ikulu hakuna vitanda vya wagonjwa kweli kama ni haya Mdomo huumba tutumie vizuri ndimi zetu Kwaresma njema tuwaombee wagonjwa wote bila kubagua
Kutoka wapi mkuuEndeleeni kuhangaika siku akirudi mtashika nyusho zenu kwa aibu kuu
Kuuliza rais yupo wapi ni kupinga maendeleo?!Na wewe zitto ni walewale lengo lao kuleta hali ya wasiwasi na mfarakano nchini kwa njia ya uzushi. Huu uzi wako wala haukua na ulazima ila unaendeleza tu malengo ya wapinga maendeleo. Viongozi wakuu wa nchi wameeleza rais yuko kazini ila vibaraka wanataka rais eti ajitokeza hadharani ili kuonesha sio mgonjwa. Huu ni uchokozi wa kusudi kwa dola ya wananchi kwa sababu hakuna sababu yoyote kuhisi rais ni mgonjwa. Itafika mahali wananchi tutataka wazushi na wale wenye kuwaunga mkono wachukuliwe hatua kabambe maana sheria za kuwawajibisha zipo.
Tamko la waziri lina siku zaidi kadhaa sasa hivyo tamko la waziri mkuu linahitaji kutizamwa kwa jicho la 3Sasa kama waziri mkuu keshatoa hilo tamko ina maana Zitto hajui anayeongoza nchi nani? Ni Dk Magufuli aliyeongea na Waziri Mkuu
Wanufaika wa uonevu unyanyasaji uovu kwa watanzania ndiyo wenye pressure kubwa, lakini watenda haki wapo wametulia wanasoma upepoZzb umeongea point tatizo liko kwa wadanganyika waliozea kunywa chai ya moto kwa mrija. Ni maumivu.
Waziri kabudi atawazuia wasije juu kwa juu, labda uombe Rais wa ulimwengu Baiden atue hapo bongo ghafra akiwa njiani kuelekea Nchi ingineMkitaka kujua Rais yu wapi hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa😂🤣😀
Ombeni ugeni mkubwa wa Rais eg India, chancellor ujerumani ama waziri mkuu wingereza au hata Baba mtakatifu aje Tanzania tuone ni protocol ipi itazingatiwa kumkaribisha Kati ya mgeni wetu pendwa noted
Najaribu kuwaza kwa sauti🤣🤣🤣😂😅😅