Kuna mabishano whether, kuna hati ya muungano ha wengine wanasema haipo. Zitto anasisitiza kuwa hati ya muungano ipo. Kama hivyo ndivyo, kwa nini kopi isiwe freely distributed kwa kila anyetaka awe nayo.
Na kama ipo iko wapi ? Mbona mwanasheria mkuu wa zanzibar ana sema yeye hana kwa maantiki gani ? Sasa kawa wanayo huko tanganyika kwa nini wasiulete huo mkataba wa muungano ? Hizo hayo ndio maneno ya viongozi.