Zitto Kabwe na Moses Machali wafunika Kigoma Mjini

Nimesoma Uzi wa Mwalimu Lwaitama kuhusu ACT hadi nimecheka.

Pia ulileta hapa uzi eti Dr Slaa anahamia ACT vipi Ameshahamia?

Act ni watoto wa ccm hivyo tabia za act ni hizo hizo za ccm
 
Duu!! Huyu ni zitto kweli!! Mbona kama wameedit hii picha ? Kama ni yeye abadili mwelekeo haraka sana.. kabla hatujasema tulimpenda na act ilimpenda zaidi

Tiririka mkuu
 
Anaetaka mabadiliko na upinzani wa kweli ajiunge ACT wazalendo huku ufisadi tupa chooni..!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We angalia kilichotokea CDM ndo utatambua kuwa hakuna siasa ndani yake. Ile sawa na glossary ya mtu tu. Anaamua afunge au afungue saa ngapi

Kuna kundi limeibuka ghafla wakijifanya kuwa na uchungu sana na CHADEMA kumbe ni wanafiki, moyoni wako CCM. Wakati Magufuli anatangazwa kundi hilo hilo liliibuka na kuwashauri CHADEMA wakomae na ubunge. Ujio wa Lowassa umeonyesha rangi za baadhi ya watu. Sasa ni kama wamechanganyikiwa na kujifanya washauri wa CHADEMA.

Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyempinga Lowassa na kumuita mwizi wakati wa mchakato wa kura za maoni CCM ili asipitishwe sababu kubwa niliona upepo wake ulikumba hata wasiokuwemo. Nilijua wakimpitisha tu wapenda mageuzi tumekwisha kwani upepo wake ungepiga hadi kwenye majimbo ya upinzani, na badala ya kuongezeka yangepungua. Kuna wabunge wengi wa CCM walitegemea sana upepo wa Lowassa uwapitie. Sasa hivi wamechanganyikiwa wanaomba bora wangejitoa CCM mapema kabla kura za maoni CHADEMA hazijafanyika.

Ndugu zangu upepo wa wanasiasa ni mbaya sana kuna wabunge CHADEMA upepo wa Dr.Slaa uliwapitia hadi leo hawaamini kama wapo mjengoni. Lowassa upepo wake ni mbaya sana. Dr.Slaa angemsumbua Dr.Magufuli lakini asingemshinda. Vile vile kwenye UKAWA ujio wa Lowassa umeleta mshikamano zaidi. Ninaamini kuna wana CUF na NCCR wasingeweza kumpigia kura Dr.Slaa zaidi ya wabunge wao. Lakini Lowassa ni kama amekuja kuwaunganisha UKAWA. Zitabebwa kura nyingi sana hapa.

Hawo wasiomtaka Lowassa ni wale waliotaka wapinzani wawe wapinzani milele. Ndio wale utawaskia Urais CCM, Ubunge upinzani. Huo ni unafiki mkubwa. Tunahitaji CCM itoke kabisa. Sasa ujio wa Lowassa ni kama umewachanganya sana wamebaki kujifanya wanakishauri chama kumbe wanafki wakubwa. Lengo kuu la chama ni kushika dola kama kuna upenyo umetokea wa kukupeleka huko utumie ipasavyo. Muda ndio huu ukipita CCM itatawala milele.
 
Mkuuu nakumbuka humu ndani kuna Mzee mmoja alivoteuliwa magufuli akafrahi na kusema walau ccm imerudi kwenye misingi yake. Kwa hyo nimeamini maneno yako tena ni kijikundi tu cha wasaliti na wapo kwa maslahi yao tu.
 
Kila kukicha kigoma kigoma tu kwani Tanzania ina mikoa mingapi?act mnatia huruma,na kwa taarifa yenu hapo kigoma hamtaaambulia hata udiwani
we mtoboa ndonya na mla panya tulia dawa ikuingie, harusi sio yenu mnaitolea macho mtapakwa wanja wa pilipili
 
aywatollah zitto kabwe hana jipya na hyo saccos yake ya ACT-MIGEBUKA hawatafika mbali
 
Back
Top Bottom