Zitto Kabwe na Moses Machali wafunika Kigoma Mjini

Zitto Kabwe na Moses Machali wafunika Kigoma Mjini

Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe na Mbunge Moses Machali wamefunika kwa umati Mkubwa wa watu ktk mji wa Kigoma Mjini.Mkutano huo umefanyika ktk Viwanja vya Kahabwa Gungu.

Hawa ndio wapinzani wa kweli nawakubali sana .
 
wamechoka kweli hao shinyanga wamezomewa juzi.wacha wajikite kigoma tuu
 
Picha tupia ili tuone kama amefunika kweli
 
Duu!! Huyu ni zitto kweli!! Mbona kama wameedit hii picha ? Kama ni yeye abadili mwelekeo haraka sana.. kabla hatujasema tulimpenda na act ilimpenda zaidi
 
Ninachoona sasa watu wameanza kuijua CDM kuwa ni genge la familia. Wanadadili bidhaa kama wanavyotaka na si kwa matakwa ya wateja.
 
Back
Top Bottom