Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,651
- 5,126
Ukimsikiliza Mhe.Zitto Kabwe kwa makini "katikati ya mistari" wakati akitaka mwongozo wa Spika kuhusu jambo lilotokea ,ni dhahiri maneno aliyoyatumia yalikuwa na lengo la kumpandisha mori Mhe.Spika na yalikuwa na ghiliba kubwa sana!
Mhe.Zitto Kabwe ni mwanasiasa ambaye anahitaji watu "very intelligent " na " very smart upstairs" ku- deal naye ! Lakini kwa aina ya Wabunge tuliojaza CCM na hata hawa wa Upinzani ni ngumu sana kumu- outsmart Mhe.Zitto Kabwe!
Wabunge wetu na hasa wa CCM wamekaa kimcharuko charuko,na kimipasho mipasho hivi na wanapayuko ovyo!
Ni Wabunge ambao hawana nafasi ya ku- absorb kitu na kuki-digest ndo waka- react!
Kabla Mbunge hata hajamaliza kuwasilisha hoja yake utasikia "vimiguno fulani" au "sauti fulani " za kuashiria furaha isiyo kifani kutoka kwa hawa " Waheshimiwa" ambavyo kama utakuwa hutazami TV basi utajua unasikiliza mijadala ya kwenye baa fulani ya pombe au basi kuna mashangingi fulani yamefumaniana mtaani sasa yanasutana!
Hivyobasi kwa Wabunge wanaojua " game of strategies" kama Mhe. Zitto Kabwe "kuwatumia" Wabunge modeli niliyoitaja hapo juu kufanikisha ajenda zake zilizojificha ni kazi rahisi sana.
Hili ndo lililomkuta jana Mhe.Spika wetu Ndugai na kujikuta kutokana na mihemuko ya Wabunge wetu walio "hemuliwa" na Mhe. Zitto Kabwe akajaribu " Kufunguka" kidogo kuhusu kijana yule!
Katika "game of strategies" tumejifunza kujua mambo mengi sana kutokana na jambo dogo sana!
Hivyobasi Mhe.Spika Ndugai kwa "kufunguka" kwako kidogo kuhusu Kijana yule tumejuwa mambo mengi sana!
Mwisho,kwako Mhe. Zitto Kabwe najua unajitahidi sana kutohoa misamiati ya kiha na kujaribu kuiingiza katika lugha ya Kiswahili jambo ambalo si baya lakini unapaswa kuwa makini sana na matumizi ya lugha kwa hadhira.
Neno "zwazwa" ulilileta fine na jana umeleta lingine la "Wabunge wamebagazwa" ! Fafanua maana ya neno " bagaza" hilo ni ombi kwako.
Neno hili la "tomasa tomasa" ni neno la Kiswahili lakini kwa mtazamo wangu unalitumia vibaya!
Neno " tomasa tomasa" lina dalili ya kuwa neno la faragha na unavyolitumia unaweza kuwa unamdhalilisha mtu bila wewe kujua au pia kwa makusudi.
Kwenye hili la Lugha niko tayari pia kuelimishwa zaidi.