Zitto Kabwe na Misamiati ya ajabu ajabu iliyompandisha Mori Mhe.Spika Ndugai !!!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,122
Ukimsikiliza Mhe.Zitto Kabwe kwa makini "katikati ya mistari" wakati akitaka mwongozo wa Spika kuhusu jambo lilotokea ,ni dhahiri maneno aliyoyatumia yalikuwa na lengo la kumpandisha mori Mhe.Spika na yalikuwa na ghiliba kubwa sana!

Mhe.Zitto Kabwe ni mwanasiasa ambaye anahitaji watu "very intelligent " na " very smart upstairs" ku- deal naye ! Lakini kwa aina ya Wabunge tuliojaza CCM na hata hawa wa Upinzani ni ngumu sana kumu- outsmart Mhe.Zitto Kabwe!

Wabunge wetu na hasa wa CCM wamekaa kimcharuko charuko,na kimipasho mipasho hivi na wanapayuko ovyo!
Ni Wabunge ambao hawana nafasi ya ku- absorb kitu na kuki-digest ndo waka- react!

Kabla Mbunge hata hajamaliza kuwasilisha hoja yake utasikia "vimiguno fulani" au "sauti fulani " za kuashiria furaha isiyo kifani kutoka kwa hawa " Waheshimiwa" ambavyo kama utakuwa hutazami TV basi utajua unasikiliza mijadala ya kwenye baa fulani ya pombe au basi kuna mashangingi fulani yamefumaniana mtaani sasa yanasutana!

Hivyobasi kwa Wabunge wanaojua " game of strategies" kama Mhe. Zitto Kabwe "kuwatumia" Wabunge modeli niliyoitaja hapo juu kufanikisha ajenda zake zilizojificha ni kazi rahisi sana.

Hili ndo lililomkuta jana Mhe.Spika wetu Ndugai na kujikuta kutokana na mihemuko ya Wabunge wetu walio "hemuliwa" na Mhe. Zitto Kabwe akajaribu " Kufunguka" kidogo kuhusu kijana yule!

Katika "game of strategies" tumejifunza kujua mambo mengi sana kutokana na jambo dogo sana!
Hivyobasi Mhe.Spika Ndugai kwa "kufunguka" kwako kidogo kuhusu Kijana yule tumejuwa mambo mengi sana!

Mwisho,kwako Mhe. Zitto Kabwe najua unajitahidi sana kutohoa misamiati ya kiha na kujaribu kuiingiza katika lugha ya Kiswahili jambo ambalo si baya lakini unapaswa kuwa makini sana na matumizi ya lugha kwa hadhira.

Neno "zwazwa" ulilileta fine na jana umeleta lingine la "Wabunge wamebagazwa" ! Fafanua maana ya neno " bagaza" hilo ni ombi kwako.

Neno hili la "tomasa tomasa" ni neno la Kiswahili lakini kwa mtazamo wangu unalitumia vibaya!

Neno " tomasa tomasa" lina dalili ya kuwa neno la faragha na unavyolitumia unaweza kuwa unamdhalilisha mtu bila wewe kujua au pia kwa makusudi.

Kwenye hili la Lugha niko tayari pia kuelimishwa zaidi.
 
Umenena vizuri sana mkuu tatizo kubwa huko CCM ni kama ulivyosema ushambenga mwingi sana kwa wabunge wetu Zitto kajua kucheza na mindset zao kawajaza na Spika kajaaa na kajaaa kwelikweli migebuka na maji ya nyakageni yanafanya kazi vizuri kwenye kichwa cha huyu bwana ndio mana ni mbunilizi wa kubuni misamiati toka kiha kuja kiswahili! Kutomasa alilitumia makusudi ili kuamsha ari ya wabunge wa ndio mzee
 
In kweli Zitto ni mbunge smart but is not for such extent..ni wakawaida tu..yeye ni mbunge ambae u cant give him huge trust unless otherwise..lkn ni mzuri kumpa kazi ya mikakati tatizo lake ni mtu mwenye uchu wa madaraka..anapenda ubinafsi..hapendi kukosolewa..alipendeza sn kipindi kile alipo kua chadema..lkn tabia ya ubinafsi (not team work) yy na team isoaminika ambapo mostly saiv wamelud ccm wakatemwa
Kumbuka uchaguz wa 2015, ACT iliwekwa kudholotesha chadema..ilikua weka mbunge na mm naweka wangu..
Lkn ni mtu anae fuatilia vzr nchi inaenda wapi, utashangaa 2020act ataweka rais..kama hata jiunga na UKAWa Pinzani kuwa kitu kimoja ni ngumu sn kuchukua nchi
 
Zitto angelikuwa m/kiti wa CHADEMA sasa maendeleo yangelikuwa makubwa mno kama vile kuwa na Ofisi za chama, kwa sasa hilo Le-Mgabe linakomba luzuku na posho kuimarisha familia ya ukoo wa makengeza!
 
Ukimsikiliza Mhe.Zitto Kabwe kwa makini "katikati ya mistari" wakati akitaka mwongozo wa Spika kuhusu jambo lilotokea ,ni dhahiri maneno aliyoyatumia yalikuwa na lengo la kumpandisha mori Mhe.Spika na yalikuwa na ghiliba kubwa sana!

Mhe.Zitto Kabwe ni mwanasiasa ambaye anahitaji watu "very intelligent " na " very smart upstairs" ku- deal naye ! Lakini kwa aina ya Wabunge tuliojaza CCM na hata hawa wa Upinzani ni ngumu sana kumu- outsmart Mhe.Zitto Kabwe!

Wabunge wetu na hasa wa CCM wamekaa kimcharuko charuko,na kimipasho mipasho hivi na wanapayuko ovyo!
Ni Wabunge ambao hawana nafasi ya ku- absorb kitu na kuki-digest ndo waka- react!

Kabla Mbunge hata hajamaliza kuwasilisha hoja yake utasikia "vimiguno fulani" au "sauti fulani " za kuashiria furaha isiyo kifani kutoka kwa hawa " Waheshimiwa" ambavyo kama utakuwa hutazami TV basi utajua unasikiliza mijadala ya kwenye baa fulani ya pombe au basi kuna mashangingi fulani yamefumaniana mtaani sasa yanasutana!

Hivyobasi kwa Wabunge wanaojua " game of strategies" kama Mhe. Zitto Kabwe "kuwatumia" Wabunge modeli niliyoitaja hapo juu kufanikisha ajenda zake zilizojificha ni kazi rahisi sana.

Hili ndo lililomkuta jana Mhe.Spika wetu Ndugai na kujikuta kutokana na mihemuko ya Wabunge wetu walio "hemuliwa" na Mhe. Zitto Kabwe akajaribu " Kufunguka" kidogo kuhusu kijana yule!

Katika "game of strategies" tumejifunza kujua mambo mengi sana kutokana na jambo dogo sana!
Hivyobasi Mhe.Spika Ndugai kwa "kufunguka" kwako kidogo kuhusu Kijana yule tumejuwa mambo mengi sana!

Mwisho,kwako Mhe. Zitto Kabwe najua unajitahidi sana kutohoa misamiati ya kiha na kujaribu kuiingiza katika lugha ya Kiswahili jambo ambalo si baya lakini unapaswa kuwa makini sana na matumizi ya lugha kwa hadhira.

Neno "zwazwa" ulilileta fine na jana umeleta lingine la "Wabunge wamebagazwa" ! Fafanua maana ya neno " bagaza" hilo ni ombi kwako.

Neno hili la "tomasa tomasa" ni neno la Kiswahili lakini kwa mtazamo wangu unalitumia vibaya!

Neno " tomasa tomasa" lina dalili ya kuwa neno la faragha na unavyolitumia unaweza kuwa unamdhalilisha mtu bila wewe kujua au pia kwa makusudi.

Kwenye hili la Lugha niko tayari pia kuelimishwa zaidi.

Zitto ni kichwa "mujarabu"

Tukiacha ushabiki, sijaona bado mwanasiasa wa kumfikia kiung'amuzi.
 
Huwa nafurahi mno pale makada wa ccm wakibagazana na kutomasana nafurahi mno.
Chochea wewe chochea kuni hizo Teh. Wazalendo bana na siku bashite akikatiza anga za agwe lazima amkung'ute na lile rungu lake special amtengue kiuno.
 
Ukimsikiliza Mhe.Zitto Kabwe kwa makini "katikati ya mistari" wakati akitaka mwongozo wa Spika kuhusu jambo lilotokea ,ni dhahiri maneno aliyoyatumia yalikuwa na lengo la kumpandisha mori Mhe.Spika na yalikuwa na ghiliba kubwa sana!

Mhe.Zitto Kabwe ni mwanasiasa ambaye anahitaji watu "very intelligent " na " very smart upstairs" ku- deal naye ! Lakini kwa aina ya Wabunge tuliojaza CCM na hata hawa wa Upinzani ni ngumu sana kumu- outsmart Mhe.Zitto Kabwe!

Wabunge wetu na hasa wa CCM wamekaa kimcharuko charuko,na kimipasho mipasho hivi na wanapayuko ovyo!
Ni Wabunge ambao hawana nafasi ya ku- absorb kitu na kuki-digest ndo waka- react!

Kabla Mbunge hata hajamaliza kuwasilisha hoja yake utasikia "vimiguno fulani" au "sauti fulani " za kuashiria furaha isiyo kifani kutoka kwa hawa " Waheshimiwa" ambavyo kama utakuwa hutazami TV basi utajua unasikiliza mijadala ya kwenye baa fulani ya pombe au basi kuna mashangingi fulani yamefumaniana mtaani sasa yanasutana!

Hivyobasi kwa Wabunge wanaojua " game of strategies" kama Mhe. Zitto Kabwe "kuwatumia" Wabunge modeli niliyoitaja hapo juu kufanikisha ajenda zake zilizojificha ni kazi rahisi sana.

Hili ndo lililomkuta jana Mhe.Spika wetu Ndugai na kujikuta kutokana na mihemuko ya Wabunge wetu walio "hemuliwa" na Mhe. Zitto Kabwe akajaribu " Kufunguka" kidogo kuhusu kijana yule!

Katika "game of strategies" tumejifunza kujua mambo mengi sana kutokana na jambo dogo sana!
Hivyobasi Mhe.Spika Ndugai kwa "kufunguka" kwako kidogo kuhusu Kijana yule tumejuwa mambo mengi sana!

Mwisho,kwako Mhe. Zitto Kabwe najua unajitahidi sana kutohoa misamiati ya kiha na kujaribu kuiingiza katika lugha ya Kiswahili jambo ambalo si baya lakini unapaswa kuwa makini sana na matumizi ya lugha kwa hadhira.

Neno "zwazwa" ulilileta fine na jana umeleta lingine la "Wabunge wamebagazwa" ! Fafanua maana ya neno " bagaza" hilo ni ombi kwako.

Neno hili la "tomasa tomasa" ni neno la Kiswahili lakini kwa mtazamo wangu unalitumia vibaya!

Neno " tomasa tomasa" lina dalili ya kuwa neno la faragha na unavyolitumia unaweza kuwa unamdhalilisha mtu bila wewe kujua au pia kwa makusudi.

Kwenye hili la Lugha niko tayari pia kuelimishwa zaidi.
Umwandika ki GENTAMYCINE...
 
pumba tupu kasome gazeti la mwanaspoti toleo la jana 25/06/2019 utakutana na hiyo miterminoloji, umejikalia kiCCM CCM
 
Hapo sasa unamjadili ZZK badala ya hoja. Rudi kwenye muktadha!
In kweli Zitto ni mbunge smart but is not for such extent..ni wakawaida tu..yeye ni mbunge ambae u cant give him huge trust unless otherwise..lkn ni mzuri kumpa kazi ya mikakati tatizo lake ni mtu mwenye uchu wa madaraka..anapenda ubinafsi..hapendi kukosolewa..alipendeza sn kipindi kile alipo kua chadema..lkn tabia ya ubinafsi (not team work) yy na team isoaminika ambapo mostly saiv wamelud ccm wakatemwa
Kumbuka uchaguz wa 2015, ACT iliwekwa kudholotesha chadema..ilikua weka mbunge na mm naweka wangu..
Lkn ni mtu anae fuatilia vzr nchi inaenda wapi, utashangaa 2020act ataweka rais..kama hata jiunga na UKAWa Pinzani kuwa kitu kimoja ni ngumu sn kuchukua nchi
 
Zitto angelikuwa m/kiti wa CHADEMA sasa maendeleo yangelikuwa makubwa mno kama vile kuwa na Ofisi za chama, kwa sasa hilo Le-Mgabe linakomba luzuku na posho kuimarisha familia ya ukoo wa makengeza!

Hayo maendeleo kashindwa nini kuyapeleka ACT? Au na yeye anataka arithi ofisi kama ccm?
 
"nilipofika sokoni niliyakuta mapapai,nikaanza kuyatomasatomasa ili nipate lililoiva vizuri"
Utakuwa na matatuizo ya akili, kutomasa mapapai. Mapapai yanabonyezwa. Tomasa hutumika kwa mwili wa binadamu. FINITO!
 
Back
Top Bottom