Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

nice 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
747
Reaction score
520
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.
 
Hongera ZZK. Hivi hizo kamati hazina kigezo cha maximumu & minimum age?
 
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.

Waaaaaoooooooooooooooooh.....! hadi kieleweke, VIVA CHADEMA. Huyo Cheyo naye alishalewa madaraka na kujiona kama mwana-CCM, wacha akapumzike huko Bariadi!
 
Maelekezo toka CCM partycocus! Mana wangemwaga jamaa wananchi tungeichukia zaidi CCM coz tungeamini CHADEMA kaonewa! HONGERA Z. Z. Kabwe.
 
Hongera zitto ila tujiulize. Kuna utotauti gani kwenye ukaguzi serikalini na kwenye mashurika ya umma?
 
Mimi naona kufuta POAC, ni kupunguza meno ya kuibana Serikali.., Zitto will do a good job with PAC, ingawa Cheyo was doing an Okay Job before, sasa badala ya serikali kubanwa huku na huko mashambulizi ya upande mmoja yamezimwa
 
Tunategemea utasimamia na kufichua maovu yanayotukwmisha kimaendeleo ama ufanisi katika nyanja hizo. Bado tunamatumaini makubwa na wewe katika kusimamia rasilimali za TAIFA.
 
Hongera MPIGANIA HAKI ZA TAIFA LETU.wewe hunampinzani,god atakujalia ufanis mzuri ktk kazi zako.
 
Hongera mpiganaji ila nakushauri uache wenge.
 
Chadema :rockon::rockon::rockon: Hongera Dogo Zitto. Waangushie hao wala nchi kitu kizitto
 
kazi kwako ZZK kutimiza majukumu bila shinikizo kwa maslahi ya wtz,mpaka kieleweke up2 2015
 
Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

Binafsi nampongeza Zitto na kumtakia utendaji mzuri kwenye majukumu yake hayo mapya. Taifa linamtegemea.

Kudos ZZK, time to shame the devil; be steadfast, focused, studious and articulate, call a spade a spade; not a BIG spoon!!
 
Back
Top Bottom