Character X
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 331
- 382
comrades habari,
Nina tambua umuhimu wakujadili maswala ya kitaifa nakuendelea kutimiza wajibu wa kambi yangu ya upinzani wakuisimamia serikali na kuikosoa kwa hoja makini. Lakini ndugu zangu mniwie radhi tafadhali, Nimesoma threads kadhaa humu ndani zenye collection ya maamdiko ya zitto kabwe in his defense against shutuma flani flani zilizokua zikielezwa juu yake na kuona namna watu walivyo changia kila mmoja akichangia kulingana na mtazamo wake.
Baada ya kusoma sana nimeona vyema nieleze yaliyo mawazo yangu, (kama anavyopenda kusema Mh. Zitto) - Ili kuweka records sawa sawa.
Baada ya kusoma michango ya wengi, wakimuita zitto kila mmoja kwa jina lake, wengine mnafki, wengine msaliti n.k nina Anza kuona kitu ambacho ama sikua na kiona ama nilikiona ila nikahitaji muda zaidi kupata hakika nimekiona. Na mimi nasema tena nitaeleza mawazo yangu ambayo yatakuwa mtazamo wangu, ambao nitauweka wazi kiasi chakitosha ili kutoa nafasi ya kukosolewa.
Kwanza kabisa ninaomba kuweka wazi jambo hapa.
Misingi ya siasa za upinzani iko kwenye hoja, mawazo na mitazamo tofauti, yenye lengo la kuboresha utendaji wa serikali yetu ilikupata the most output from ideas za wakaaji wa nchi husika. Hivyo nikusema nini, hivyo nikusema iwapo vichwa Mia moja vita kaa kujadili jambo na vyote vika fuata hoja ya mtu mmoja bila kufikiri hoja mbadala IPO hatari ya kundi hili kuelekea shimoni wote kwa pamoja kama msafara wa kondoo bila mmoja atakae shtuka na kupona.
Siasa za upinzani nijuu ya hoja tofauti na mawazo mbadala ilikuleta ufanisi bora zaidi katika nchi hiyohiyo moja. Kwaio hoja hapa ni kuboresha ufanisi wa serikali ilikuboresha maisha ya kila siku ya mwananchi wa sasa na vizazi vijavyo.
Hapa swala si uadui na uhasimu tu na chuki zilizo jengwa juu tofauti ya rangi za bendera zetu.
Upinzani sio maana yake uwe adui wa kila mtu ilimradi tu yuko upande wa pili., Laah hasha sivyo hata kidogo.
Kuwa mpinzani haimaanishi huwezi kukubaliana na hoja sahihi za mtu wa upande wapili, Actually ilikuwa mpinzani makini unahitaji kuaminiwa na upande wako lakini na upande wapili pia.,
Tatizo ninalo liona hasa changamoto anayokumbana nayo ng. Zitto, ni ule uswahili, ubinafsi, USHAMBA wa watu wengine ndani ya chama wanao mtazama nakushindwa kumuelewa tu., wanadhani zitto anafanya anayoyafanya ilikupata sifa nakusahau kwamba kiongozi makini huhitaji kuweka misingi wakati mwingine., Lazima afanye gestures (kwakumaanisha kabisa) zinazo onyesha unachokiamini ilikujenga misingi sahihi kwa wale unao waongoza.
Ndugu zangu kuwa mpinzani -result oriented, unahitaji kuaminika!! Lazima sisi wapinzani wenzako tukuamini, lakini lazima tunaowapinga nao wakuamini, kwasababu tunawapinga tukionyesha namnabora zaidi ya kufanya mambo kuliko wanavyo fanya wao. Na hatuwapingi kwakuwa wao ni wao na sisi ni sisi.!
Hatuwapingi CCM kwakua wao ni CCM na sisi ni CHADEMA, tunawapinga kwakua tuna hoja zenyenguvu za kuboresha uendeshaji wa nchi yetu,
sasa ili izo hoja tunazo zipeleka kama wapinzani tukiamini nibora zaidi kuliko za watawala zipate kufanyiwa kazi, lazima hao watawala watuamini, wajue amakwahakika hatuna interest nyingine hidden yoyote isipokuwa tunayoionyesha, -kufanya kazi bora zaidi ya kulijenga taifa hilo hilo. Lazima waone nia ya dhati kwenye maneno yetu na matendo pia ya kuuweka utaifa mbele, nawasipate shaka kuwa huenda hawa agenda Yao ni kukinufaisha chama Chao tu, lazima wajiangalie katika kioo cha utaifa wetu, wayaone madhaifu Yao, wajikosoe!! Hapo ndipo upinzani unapoleta tija kwa taifa.
zipo hoja kwamba mbona zitto anaaminika na serikali ya CCM kuliko wengine, anahongwa!,.
Sasa niseme tu wasi, Zitto kuaminika na watawala is a BIG plus to the change movement.
Namimi nafkiri amefanikiwa kujenga imani kwao si kwa Usaliti ila kwa kazi nzuri ambayo ameifanya so far, kwa professionalism aliyo ionyesha so far.,
Sasa
Kama aliyo yaeleza hapa JF kwenye threads kadhaa alizo ziandika kujitetea kuhusu maswala kama lile la kuamua kutogombea ubunge mwaka 2010, Na kama ni kweli yale aliyo yaeleza kua amefanya bungeni, na kwenye chama, na michango yake ndani na nnje ya nnchi ameyafanya., na kama ni kweli mipango aliyoieleza ni kwasababu alizozieleza hapa na sivinginevyo, na mtazamo alioueleza hapa ndio mtazamo wake halisi.
Basi mimi sioni shida hata kidogo, namuona mtu mwenye uwezo,Nia na sababu ya kufanya mabadiliko ya kweli kwenye siasa zetu, actually na muona mtu mwenye the right mentality for leadership.., if this is what his heart is. then, I think THERE ACTUALLY MIGHT BE MORE TO THIS PARTY STRIFE THAN MEETS THE EYE.
kama ambavyo nilieleza kwenye thread yangu hivi majuzI, Zitto has the right preparation and the right mentality to bring about true change to Africa.,
Naomba niwaonyeshe kitu hapa,wakati wa vita dhidi ya utawala wa apartheid nchini Africa kusini, yalikuwepo makundi mengi sana yakipigana kila moja mwa style yake(maana wengi wanaijua ANC pekeyake) kinyume na utawala ule, lilikuwepo kundi moja lililo ongozwa na jamaa mmoja very radical(Robert somebody,aliekuja fia jela)actually ndilo lililo ongoza maandamano flani yalio sababisha wanafunzi maelfu wa Soweto kuuwawa na jeshi kama kuku, hakukuwahi na hapaja wahi tangu kipindi hicho kutokea mauwaji makubwa namna ile Africa ya kusini. ukiangalia kwajujuu unaweza ukadhani yeye ndiye alikua mpinzani kweli, lakini Nelson Mandela anasema kwenye kitabu chake "the long walk to freedom" kikundi kile kilikuwa very irresponsible, na maandamano Yao yaliendeshwa kwa madhara makubwa sana ya mali na maisha ya raia tafauti na vile maandamano ya ANC yaliendeshwa (ofcourse hii haimaanishi hapakutokea vifo katika maandamano ya ANC). Na by the way Nelson anafika maali nayeye anasema katika kukaribia uhuru akiwa anatokea jela na baada ya watawala wengi kuanza kumuamini, na wazungu wengi zaidi kugundua Kwamba anachofanya nikwaajili ya haki ya ubinaadamu tu nasio kisasi kama yalivyokuwa makundi mengi ya kipindikile,alianza kuitwa na kufanya vikao vingi sana na wakuu waserikali ile, akiwa peke yake na akitokea jela kiasi kwamba watu wa ANC waka Anza kumshutumu kuwa anahongwa na makaburu, nahuyo jamaa Robert nani sjui ndipo akaibeba ile kama agenda yake kusema Mandela anaonekana akifanya vikao na makaburu, amehongwa!
Lakini mandela anasema ilibidi waifikishe mahali ANC iaminike na watu wapande zote, makaburu na waafrica pia, wanachama wa ANC, na wa chama tawala pia, kwamba hoja zao zakipinzani zina Nia moja tu! - kufanya maisha bora zaidi kwa kila mmoja.
Ninachosema hapa ni kitu gani, Zitto kujenga kuaminiwa na seeikali ya CCM hakutakiwi kumaanisha ni msaliti, nandio maana hoja zake nyingi bungeni zimefanyiwa kazi na kuboresha shuguli za bunge na serikali kwa ujumla, wakati hoja za wengine hata pale ambapo hua nzuri na zenyenguvu kabisa hukataliwa bila hata kusikilizwa.
Baada ya kusema hayo mengi niliosema, ninaomba kumalizia kwakusema, Mh. Zitto anahitajika CHADEMA sikwasababu bila yeye CHADEMA haiwezekani kuendelea HAPANA HATA KIDOGO!
Ila kwasababu having him is a Plus!
Nevertheless, kwasababu za kimisingi (principles) kamanilivyoeleza kabla, naeleza tena, uamuzi wa CC ya Chadema ni SAHIHI.
Mh. Zitto, tafadhali, Nina amini uwezo Wako, na Nia yako pengine kuliko wengi ndani ya kambi hii ya upinzani, kama swala ni waraka wa ushindi, na mikakati isiyo halali ilyokuwa ikifanyika ndani ya chama ilikumuondoa mwenyekiti HALALI Kwakueleza madhaifu yake na shutuma za makosa ya kiutendaji nje ya utaratibu wa vikao halali vya chama, fuata maelekezo ya CC tufunge ukurasa huu, Rudi tujenge chama, mimi kama vijana wengi ningetamani kuingia humo pia siku moja lakini tunahitaji mazingira sahihi na mentality sahihi, mentality uliyonayo ndugu zitto.
We need to close this chapter and put it behind us.
Comrades,
Niwashukuru.