Zitto Kabwe Leo atafikishwa mbele Ya kamati za maadili kujibu mashitaka yake

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
620
1,543
Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe (ACT Wazalendo) leo saa sita na nusu mchana atakuwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge kujibu tuhuma za kupinga bunge kufanyika gizani

index.jpeg

Zitto alikiwa ni miongoni mwa wabunge ndani ya Bunge waliopinga hoja ya Nape ya kuzuia Bunge lisionyeshwe live.
#MimiPiaNahitajiKuonaBungeLive #BungeLiveTz

Amuulize mwanzeke kafulila.Ilivyo pigwa ban
 
Linapo kuja swala lolote la huyu 'stoolpigeon' uzalendo unanishinda, ingawa tunaambiwa tusamehe mara 770, ebu acheni achinjwe tuu!
 
Serikali ya viwanda bana...
Kiranja wa mawaziri juzi katamka sababu ya bunge kutokuwa live ni kwamba watu wafanye kazi badala ya kushinda kutwa nzima wanaangalia bunge. Waziri mwenye dhamana alituambia kwamba sababu ni gharama za uendeshaji kuwa kubwa. Wawe wawazi tu, kwamba tumezuia kuonyesha bunge live ili kukinusuru chama cha mapinduzi kisife.
 
Back
Top Bottom