Kwenye gazeti la the Guardian on Sunday la tarehe 22 April 2012 kuna habari inayosema kuwa Zitto kusimamia zoezi la petition kwa ajili ya kumng'oa Pinda linatokana na 'pressure' ya wananchi na baadhi ya 'donors' kutoka Norway.
"In a telephone interview with The Guardian on Sunday, Kabwe, who is Kigoma North MP, said, I acted alone
I asked God to help me after a lot of pressure from Tanzanians and some donors from Norway.
Mimi nilifikiri msukumo ulikuwa ni wa ndani ya Zitto (patriotism, deep thinking, creativity and political will), lakini kumbe kutoka nje. Je, huku ni kukomaa kisiasa au ndio spanner mkononi?
Source:
:: IPPMEDIA (search using a keyword Zitto or Kabwe)
Mkuu mbona sijakuelewa vizuri, nani anaweza kuthibitisha kilicho zungumzwa kwenye SIMU; kama wewe ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na TAIFA lako unaweza kweli kabeza ujasiri
ZITO KABWE-tukiachilia mbali mambo ya itikadi za vyama. Sisi tumeona kwa macho yetu jinsi wabunge walivyokuwa wame chachamaa, hata sisi raia yalitutia uchungu sana; kinacho sikitisha zaidi ni kwamba Viogozi walio pewa dhamana na Mh.Raisi kuongoza Wizara, karibu wote walisomeshwa bure mpaka vyuo vikuu - inakuwaje tena wanasahau waliko toka na kufanya madudu ya kulifedhehesha Taifa letu na Raisi aliye wateuwa!
Mimi nina hakika
ZITO akuwa na nia ya kutaka
Mh.Pinda ang'olewe madarakani - alichofanya pale ni kuwakumbusha wenzake kwamba, hawana mamlaka ya kuwajibisha Mawaziri hata wakisema usiku kucha hakuna litakalo tokea, lakini kuna mbuni inayo weza kuanzisha a chain reaction ya kuharakisha mambo na hiyo ndiyo karata aliyo gangania
ZITTO - I am sure hata
Mh.Pinda rohoni mwake alijua akulengwa yeye.
Sasa mtu akianza ku-question
"patriotism sijui na deep thinking" ya
ZITO! basi mtu unakuwa na wasi wasi kama mtu anaye tamka maneno kama haya ni Mtanzania mwenzetu.
Mweshimiwa Raisi aliwahi kusema akili za kuambiwa changanya na za kwako - hilo Gazeti la Guardian lilikuwa na madhumini ya ku-water down ujasiri wa
ZITTO wanatumbukiza mambo ya ma-donors as if Watanzania wa leo hawawezi kuwa na akili za kuchambanua mambo mpaka wapate shinikizo kutoka kwa
WAZUNGU, hii ni propaganda mbaya sana; mtu ukiangalia kijuu juu unaweza kufikili ni maneno tu, siyo kweli! nia yao ni kuonyesha kwamba kuna external pressure ndiyo inataka kutuvuruga - tuko mahili kuwalaumu watu wengine wakati sisi ndiyo tunakosa mahadiri ya kazi na kuwajibika - mambo ya kutafuta mchawi hayatufikishi POPOTE.