Zitto Kabwe: "Hatudanganyiki - Septemba 2015 mishahara Serikalini ilikuwa 523B lakini Julai 2019 ni 566B!"

Wizi mtupu...Huyu Rais sijui Hizo Kesi za Uhujumu Uchumi na wizi wa mali za umma atazijibuje baada ya kutoka Magogoni, Kipindi hicho kina Bashite wanasifia Mtu mwingine!
Duuu!!! hiyo kali sana. Waimba mapambio watakuwa wanamwimbia mwingine!!!!
 
Awamu ya washamba hii
Halafu Magufuli anapongezwa kwa KUPAMBANA NA UFISADI. Magufuli anaibana ofisi ya CAG ambayo ndiyo ingemsaidia katika kutanzua hivi vitendawili. CAG anapigwa vita kila kona ili asifanye kazi yake vizuri. anapunguziwa bajeti kila kukicha. anashambuliwa na kutakiwa kujiuzulu. Rais mwenyewe yuko pembeni kumbe wajanja tunajua kwamba ndiye anayemtuma Ndugai na wengine wamshambulie CAG.
 
Ninaamini hii tweet ya mheshimiwa Zitto Kabwe hapa chini ipo self-explanatory.

Binafsi sina cha kuongeza zaidi ya na mimi pia kushangaa tu kama alivyoshangaa Zitto !
Mwisho kwa Leo: Sept 2015 gharama ya mishahara ya Wafanyakazi ilikuwa shs 523 bilioni. Mwaka 2016 na 2017 wakaondolewa wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki. Gharama ya mishahara July 2019 ni shs 566 bilioni. Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya kihivyo! HATUDANGANYIKI

Ni rahisi sana kuwadanganya watu wa UKAWA. Tafuta taarifa halafu iongelee juujuu. Watakimbizana humu "kuanzisha threads" na kujiita Great Thinkers.
 
Hujanielewa bila shaka. Nimekuwa mtumishi wa umma tangu awamu ya JK! Na ndiyo maana nimesema hivi; bora ya JK aliyejali kwa kiwango kikubwa haki za wafanyakazi na makundi mengine kwenye jamii!

Huyo malaika wenu hana lolote zaidi tu anachezea hela za walipa kodi ili kujijengea himaya yake ya kisiasa na ambayo hatuelewi itaishia lini. 2020, 2025! au ni ya milele.
Na wewe nahisi ujanielewa pia.

Huyo jk na unafiki wenu watanzania mlikuwa mnamnanga humu jf ila kwa vile hayupo unamuona mwema leo vivyo hivyo mtafanya kwa huyu wa sasa akishaondoka madarakani.

Kwa bahati mzuri unafiki mnaongea leo humu jf unaendelea kuishi na kuwaumbua siku za mbele.

Hivi watanzania unafiki mtaacha lini?
 
Watanzania mbona vilaza sana wa hesabu?
Kama maelfu ya watu wamepunguzwa. Wengine wamestaafu na wengine wamekufa.

walioajiriwa kwa miaka hii minne hawafiki hata nusu ya waliondolewa.
Hakuna mishahara kupanda. Sasa hiyo total kuongezeka inatoka wapi?
[
QUOTE="Avriel, post: 32955021, member: 440649"]
Kwani serikali haijaajiri tangu 2015?
Au ajira mpya mpaka zile zinazoajiri wengi kwa mkupuo?
Ukiweza tembelea website ya utumishi tangu 2015 mpaka sasa waweza ona matangazo luluki ya ajira au nazo ni kick?
Pia mashirika ya serikali mengi kama Tanesco, Tanroads, na mengineyo yamekuwa yakiajiri hivyo ongezeko lazima litokee! Japo haizuii kuifuatilia serikali ije na data sahihi za ongezeko la waajiriwa tangu 2015 vs punguzo la waajiriwa lililopaswa kuleta punguzo la kiwango cha fedha zinazolipwa kama mishahara...
[/QUOTE]
 
Halafu Magufuli anapongezwa kwa KUPAMBANA NA UFISADI. Magufuli anaibana ofisi ya CAG ambayo ndiyo ingemsaidia katika kutanzua hivi vitendawili. CAG anapigwa vita kila kona ili asifanye kazi yake vizuri. anapunguziwa bajeti kila kukicha. anashambuliwa na kutakiwa kujiuzulu. Rais mwenyewe yuko pembeni kumbe wajanja tunajua kwamba ndiye anayemtuma Ndugai na wengine wamshambulie CAG.
mkuu kuna kitu tutarajie wananchi ambacho kitastua nchi japo ni mabadiliko tu ya hali ya hewa. nauona uwekezano... ooops!! uwezekano mkubwa wa MUTU YA JUU KABISA kustopishwa kukalia kiti kwa mara ya pili. haijawahi kutokea huko nyuma ila dalili za kutokea sasa ndo hizi. tupeane muda na subira na UHAI tushuhudie pinduo hili.
Nawahurumia sana wale tegemezi.
 
Nci
Ninaamini hii tweet ya mheshimiwa Zitto Kabwe hapa chini ipo self-explanatory.

Binafsi sina cha kuongeza zaidi ya na mimi pia kushangaa tu kama alivyoshangaa Zitto !
Mwisho kwa Leo: Sept 2015 gharama ya mishahara ya Wafanyakazi ilikuwa shs 523 bilioni. Mwaka 2016 na 2017 wakaondolewa wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki. Gharama ya mishahara July 2019 ni shs 566 bilioni. Hakuna nyongeza ya mishahara, hakuna ajira mpya kihivyo! HATUDANGANYIKI

Nchi ya wanyonge hii
 
Na wewe nahisi ujanielewa pia.

Huyo jk na unafiki wenu watanzania mlikuwa mnamnanga humu jf ila kwa vile hayupo unamuona mwema leo vivyo hivyo mtafanya kwa huyu wa sasa akishaondoka madarakani.

Kwa bahati mzuri unafiki mnaongea leo humu jf unaendelea kuishi na kuwaumbua siku za mbele.

Hivi watanzania unafiki mtaacha lini?

Wewe jamaa una kichwa kigumu aisee! Sasa unafiki uko wapi hapo kwa mfano! Mimi nimemuongelea JK kwenye suala la wafanyakazi na makundi mengine ya kijamii, ya kwamba alijitahidi kuwa muungwana na pia kujali haki zao!

Na hivyo kwa upande wangu naona alikuwa bora kuliko huyu wa sasa! Sasa nongwa iko wapi? Nimemfananisha JK na Magufuli! Sasa unaumia kweli kweli! JK hakuwahi kuingilia michakato ya stahiki za wafanyakazi, hakuingilia wanasiasa kufanya shughuli zao za kisiasa za kila siku, nk.

Sasa kwa mtazamo wangu kumuona JK ana unafuu kuliko huyu mwingine ni kosa? Basi tumalize haya malumbano; Rais wako kipenzi cha wanyonge Magufuli ndiye Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania! Amenunua ndege 8, anajenga stiglers gorge, anajenga standard gauge, anajenga mabarabara, nk.
 
Ajira mpya wanakuja kwa ZZK na mjitu inaonga mkono bila hata kufikiria. Kweli watu wanatumia makalio kufikiria akiwemo ZZK
 
Kuwajibu mazwazwa kama nyie ni kazi kweli. Alichosema zitto, ni kuwa "serikali haijaajiri wafanyakazi wapya kiivyo kiasi kwamba mishahara ipande kiivyo"
Ivi kweli Zitto ana amini tangu Jully 2915 mbaka Jully 2019 Serikali haija ajalili ata mtu mmoja!! Zitto kweli yupo apa Tanzania au alisafir au kikk!!!
 
Kwani serikali haijaajiri tangu 2015?
Au ajira mpya mpaka zile zinazoajiri wengi kwa mkupuo?
Ukiweza tembelea website ya utumishi tangu 2015 mpaka sasa waweza ona matangazo luluki ya ajira au nazo ni kick?
Pia mashirika ya serikali mengi kama Tanesco, Tanroads, na mengineyo yamekuwa yakiajiri hivyo ongezeko lazima litokee! Japo haizuii kuifuatilia serikali ije na data sahihi za ongezeko la waajiriwa tangu 2015 vs punguzo la waajiriwa lililopaswa kuleta punguzo la kiwango cha fedha zinazolipwa kama mishahara...
Uko sahihi mkuu waje najibu sahihi watu waliwapunguza kwa vyeti feki na watumishi hewa niwangapi na wameajir wangapi mana inasemekana mishahara haijapanda
 
Etwege anachosema Zitto ni kwamba, kama safari na semina zimefutwa, wafanyakazi "hewa" wameondolewa na ajira iliyofanywa na serikali ni ajira isiyolingana na walioondolewa kwa wingi wake, ni kwa nini mishahara haiongezeki ama matumizi kupungua kwenye eneo la mishahara?

Kwa hoja yake ya kimahesabu ni kwamba bilioni 566 zilizotumika kwa mishahara Septemba 2019 ukitoa na Bilioni 523 zilizotumika kwa malipo kama hayo mwaka 2015, unaona tofauti inakuwa ni ongezeko la shilingi bilioni 43 tu.

Hoja ya zitto ni hii: Inawezekana ajira iliyofanywa ni ndogo sana ama waliopunguzwa hawajapunguza matumizi ya fedha kwenye eneo la mishahara. Jee waliopunguzwa waliokoa shilingi ngapi na walioajiriwa upya wanatumia shilingi ngapi kwenye malipo ya mishahara yao.
Ahsante kumwelewesha, binafsi nishachoka na sarakasi za hii Serikal
 
Wamepandishwa madaraja tangu mwezi wa 5 lkn mpaka sasa mishahara hawajabadilishiwa,
 
Halafu Magufuli anapongezwa kwa KUPAMBANA NA UFISADI. Magufuli anaibana ofisi ya CAG ambayo ndiyo ingemsaidia katika kutanzua hivi vitendawili. CAG anapigwa vita kila kona ili asifanye kazi yake vizuri. anapunguziwa bajeti kila kukicha. anashambuliwa na kutakiwa kujiuzulu. Rais mwenyewe yuko pembeni kumbe wajanja tunajua kwamba ndiye anayemtuma Ndugai na wengine wamshambulie CAG.
Una majungu balaa !
 
Ivi kweli Zitto ana amini tangu Jully 2915 mbaka Jully 2019 Serikali haija ajalili ata mtu mmoja!! Zitto kweli yupo apa Tanzania au alisafir au kikk!!!
Umesahau kuwa walipunguzwa wafanyakazi hewa zaidi ya elfu kumi
 
Back
Top Bottom