karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
Mh.zitto mbona hueleweki hukusu ACT?kuwa wazi kama wewe ndio mwenyekiti kamili au la,maana unatuchanganya sana,hatujui uko upande gani,mara ulisema chadema upo na act upo sasa tushike lipi??
Kufifia kisiasa kwa CDM ndio chanzo cha muungano na vyama vingine vya upinzani
"Ukweli unatabia ya kutopenda kupuuzwa"
Hili ni jambo dhahiri licha ya kua nitaandamwa na kejeli na kashfa yakiwemo matusi lakini kwa sasa CDM inafifia kwa kasi kubwa kisiasa na hii ndio sababu marubani wa chama hiki wakaamua kuungana na vyama vingine vya upinzani ili angalau kunusuru chama hiki na balaa la kufifia ama kufa kabisa kisiasa.
Ni nani hafaham kwamba Marubani wa chama hiki walishawahi kukaririwa mara kadhaa wakitoa kejeli kwa vyama vingine vya upinzani (CUF,NCCR...). CUF waliitwa CCM B, CUF walionekana wameoolewa na CCM hasa kwa kwa isue ya serikali ya umoja wa kitaifa kule zanzibar,
Leo imekuaje?
Poleni sana 2015 baada ya uchaguzi ndipo jibu litapatikana kwamba Hakuna CDM bila ZZK.
Leta hoja Matusi hapana,
karibuni kwa tafakari.
go back to school dude.you don't know what you think about this pointKufifia kisiasa kwa CDM ndio chanzo cha muungano na vyama vingine vya upinzani
"Ukweli unatabia ya kutopenda kupuuzwa"
Hili ni jambo dhahiri licha ya kua nitaandamwa na kejeli na kashfa yakiwemo matusi lakini kwa sasa CDM inafifia kwa kasi kubwa kisiasa na hii ndio sababu marubani wa chama hiki wakaamua kuungana na vyama vingine vya upinzani ili angalau kunusuru chama hiki na balaa la kufifia ama kufa kabisa kisiasa.
Ni nani hafaham kwamba Marubani wa chama hiki walishawahi kukaririwa mara kadhaa wakitoa kejeli kwa vyama vingine vya upinzani (CUF,NCCR...). CUF waliitwa CCM B, CUF walionekana wameoolewa na CCM hasa kwa kwa isue ya serikali ya umoja wa kitaifa kule zanzibar,
Leo imekuaje?
Poleni sana 2015 baada ya uchaguzi ndipo jibu litapatikana kwamba Hakuna CDM bila ZZK.
Leta hoja Matusi hapana,go

Ifweero jadili mada husika, usiingize chuki zako mahali pasipohusika. Mada inamhusu Zitto, wewe unajadili Chadema kuungana na vyama vingine!
Ukweli unawauma, na tusubiri muda c mrefu tutapata majibu halisi ya sacco yenu.
zito amesababisha chadema imepoteza mvuto
Bila zzk, cdm inaporomoka
nawashauri nccr,cuf be carefull hawa cdm wanataka kupitia mgongo wenu baada ya kuona wamechemsha
Una DENGUE ya Ubongozito anajiandaa kuwa mwenyekiti wa chadema taifa
Huo ni ukweli mtupu,wanatumia mgongo wa ukwa baada ya kupoteza mvuto kwa wananchi,kwisha habari yao
Zitto Anauwezo mkubwa wa ku-plan inabidi uwe una at least 1/2 yake kumuelewa