Zitto Kabwe: Chickens coming home to roost

Somo zuri ila kuna wanasiasa hawajifunzi bado. Nasubiria Lissu turn.

Mnyika naye keshaanza kupotea pole pole.
Naibu katibu mkuu hasikiki haonekani.
Anaonekana mwenzie wa Zanzibar tu.
 
propaganda machinery ya CHADEMA ikiongozwa na
1)yericko nyenyere
2) ben saa nane
3)godlisten malisa
4)makene
5) kubenea
........ nk

Ben Sanane naye tangu akatwe Rombo simuoni kabisa humu. Kapotea sijaona comments zake kuhusiana na mnyukano huu wa kisiasa.
Kinamna flani amepotea kama alivyopotea Silaa kabla hajaibukia Serena.
Where is Ben?
 
Hata wewe ni propaganda machinery...pengine ya ccm au act....wakati huu wa mabadiliko hii inasaidia chochote...you are just a fool trying to portray to jf members that are able to bring something from history...

 
viongozi wa CDM wanabahati mbaya hawawafahamu vijana wanaowaongoza -kwa kifupi ukionesha kurudi nyuma kimapambano na CCM uhusiano kwisha awe Mbowe awe Lisu ama yeyote yule ikiwamo lowassa wanachotaka ni CCM out hawampendi yeyote-na hawawa wanaumoja wao usio na viongozi wanatiana moyo na ushujaa kupitia mitando ya tehama na hichi ndicho CCM walichoshindwa
 

Alitumia angle tofauti kufikisha ujumbe wake.
 

Mbowe ataletaje hizo wakati ndiye injinia wa mabadiliko? Kutoka sera ya kupinga ufisadi mpaka sera ya kuukumbatia ufisadi!
 
Sioni alicholiandika huyu kina uhusiano na yanayootokea tanzania zaidi ya unafiq
 

CHADEMA ni taasisi.
Hata Mbowe akizingua atakaa kando tu
 
mkuu licha ya kunichekesha lakini pia umeongea ukweli mtupu. MIMI NASEMA HIVI, MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI. bado watu wanne.
ni suala la muda tu.


 
Zitto hana Jipya era yake ishakwisha kutesa kwa zamu,sasa ni zamu ya tumbili na mkosamali.
 
Mbowe ataletaje hizo wakati ndiye injinia wa mabadiliko? Kutoka sera ya kupinga ufisadi mpaka sera ya kuukumbatia ufisadi!

usitake kupotosha tunajua EL ni mchafu ila kwa kuwa kajiunga na sisi kutaka kuiondoa ccm tunamuunga mkono hata kinafiki. Nasema hata huyo Mbowe leo akihifanya anataka ccm irudi madarakani hataamini macho yake. Huyo EL alipokuwa huko ccm tulimponda sana na tulikuwa tunaomba achaguliwe na ccm tumshambulie kwa ufisadi wake. Ila kwa kuwa kaja kwetu anacheza beat yetu ya mabadiliko tunamuunga mkono na uchafu wake. Ndio maana Slaa alivyotumika na ccm kutaka kwenda kujaza wabunge wa ccm bungeni wasiojua wajibu wao wanacdm ndio wamekuwa wakwanza kumkataa. Hivyo kama mlimpa hela airudushe ccm madarakani andikeni hasara.
 
Kajiosha mwenyewe, mwosha huoshwa?? Kwa lipi tuhangaike na huyo babu sie, mtu kalamba p za kutosha kwa ajili ya kununulia mihogo, anakuwa victim kwa nani!!?? Haya z nae bado analia lia hapa Oooooh alipitia hayo, that traitor!? I don't give a damn
 
yes, Chicken come home to roost.....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…