Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,369
- 5,512
Hakuna cha kuku wala bata kurejea bandani. Zitto na Slaa na wengineo wa dizaini yao wanajijua kilichowatokea. Kuna mstari ukiuvuka basi usitarajie matokeo tofauti na yaliyotokea. Ndio maana kuna waliokuwa wakitabiri tarehe kamili za CHADEMA kufa kwa kujiamini kabisa bila kujua kuwa upande wa pili nako kuna wajanja wanasoma miondoko ya mambo kimyakimya tu.